The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sio kwamba ccm hawajui kuwa wamezidiwa na cdm kwenye ushawishi, bali wanaona aibu kushindwa na cdm, na kubwa zaidi wanajua wengi wao wataishia kwenye mikono ya sheria kwa uovu na wizi walilofanya wakiwa madarakani. Hivyo namna pekee ni kushirikiana na vyombo vya dola kuwahujumu cdm. Uzuri ni kuwa wakati ni ukuta, hakuna namna ccm watawaweza tena cdm.Guys guys
Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania.
Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea kusema kusema uongo.
View attachment 3579762
Hatuna CHAMA chochote kinachoweza kushindana n.a. ChademaGuys guys
Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania.
Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea kusema kusema uongo.
View attachment 3579762
Hakuna kitu hapaGuys guys

Zikiketwa clip nyingi kesho cdm watazuiwa kufanya siasa.Yaani hiyo clip moja ndio mnataka watu wasile hata ugali na samaki??
Very true 👍Guys guys
Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania.
Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea kusema kusema uongo.
View attachment 3579762
Kweli kabisaShinikizo lolote kwa upinzani mara nyingi huzalisha political sympathy.
Wananchi wakishahisi kuna uonevu, ule mwitikio huwa unakuwa mara mbili zaidi kama namna ya kuonyesh defiance.
SureHatuna CHAMA chochote kinachoweza kushindana n.a. Chadema
SawaHakuna kitu hapa
Issue sio Aida, chadema hapo Nkasi inaungwa mkono tokea 1995. Basically uchaguzi ukiwa huru na haki huko songwe, katavi, kigoma na rukwa CCM itageuka chama cha upinzaniKatika wanasiasa wa Chadema, Aidan anakubalika sana jimboni kwake. Ishara ni kuwa pamoja na yeye kutoshiriki kwenye uchaguzi, CCM hawakuweza kulichukua. Anapaswa kulindwa na kutumiwa vizuri na chama chake.
Amandla...