GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho.
CHADEMA nilidhani Kipindi hiki hicho Chama na Kiongozi wake nchi inawashinda au imeshawashinda basi nyie ndiyo mngeibuka kuja kuyasema Maovu yao huku mkija na Mikakati zaidi ya Kiushawishi ili mwaka 2025 tuwapeni nchi lakini cha Kusikitisha imekuwa ni Kinyume chake na mmebaki Kuzubaa na Kubung'aa tu.
Na kama kuna wana CHADEMA walioniangusha zaidi GENTAMYCINE ni Mheshimiwa Freeman Mbowe, John Mnyika, Tundu Lissu na Salum Mwalimu kwa kutokuja na zile amsha amsha zao zilizowafunua ( tufunua ) Akili Watanzania kiasi kwamba sasa ninahisi kuwa Wameshanunuliwa na sasa nao wako katika Payroll ya Mfumo ( System ) ili Kutombughudhi Mtemi wa Kizanzibari aliyesimikwa Mwanza kwa Wasukuma.
Pamoja na kwamba MImi ni mwana CCM Kiushabiki ( ila bado siyo Mwanachama ) nilikuwa napenda Chama cha Upinzani cha kukipa Jamba Jamba CCM yangu ili Kijitathmini, Kijirekebishe na Kiongoze vyema, ila nasikitika imekuwa ni tofauti kupelekea CCM sasa Kubweteka na kuhisi haina Mpinzani sasa na hata hiyo 2025.