CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

Mission ya ccm na CHADEMA KWA nchi yangu Tanzania imeshaisha nayo inatupeleka kwenye katiba Mpya!!!

Hakuna kati ya Hao wawili wata survive Baada ya katiba Mpya kupatikana!wakati wa wao kutulia na kulamba asali ni sasa maana hawatopata nafasi hiyo tena!ACHA walambe ni wakati wao Sasa!!

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Back
Top Bottom