Hiki chama aisee ni cha kipekee.
Tangu hapo zamani kikifanya mikutano na shughuli zingine za mikusanyiko huwa wanatoma kwa amani na furaha tele kwa wananchi. Mikutano yao isipoingiliwa na dola huwezi kusikia hata Mwananchi mmoja akilalamika kukanyagiwa fungu la nyanya wala dagaa.
Ngoja sasa waingie wale jama hii!! Mimi ningeshangaa na ningekuwa nilishahamia CCM kitambo sana kama Chadema wangekuwa watu wa vurugu. Chama cha utu, ustarabu na kinazingatia haki za wengine wakati woote wa shughuli zake za kisiasa.
Juzi tarehe 21 wakiwa Mwanza utitiri wa makutano ya watu pembezoni mwa njia na barabara kulikuwa na watu kibao wakifanya biashara zao za mihogo, wachoma mahindi, wauza karanga, dagaa na samaki hakuna hata mmoja alilalamika kumwagiwa tenga lake.
Wale wazushi walikuwa wanadanganya umma sana. Nyakati zimebadilika.
Watanzania sio wajinga tena