CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema. Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
 
Yaani pesa zote zinavyokombwa serikalini wewe unaumizwa na 100 million ambazo hata huna ushahidi kuwa zimeliwa. Kama Chadema ni mafisadi mbona CAG hajatupa report chafu.

Hizo zilizopelekwa China peke yake ni zaidi ya hizo unazungumzia. Mpaka kesho wameshindwa kutuambia 1.5 Trillion zililiwa na nani? Halafu unakuja humu kujifanya una uchungu na ufisadi nchi hii.... Pathetic!!
 

Acheni unafiki , CCM wameiba kwenye kagoda, Richmond, escrow, meremeta, EPA, plea bargain ya China, 1.5 Trilioni etc. Ila mmekalia majungu as if CHADEMA ipo serikalini. Kweli mjinga ni mjinga tu.
 
Ninatamani kuona mambo ya kweli na ya maana kuwekwa kwenye mitandalo yetu. Unaweza kujifanyia takataka kama huyu mtoa posti sii kwamba hajui lakini unaiona chuki ktk moyo wake.
Ni punje ndogo sana unayiona ukilinganisha na vijana wa mbowe
 
Sasa unalia nini dogo ?
 
Pumbaf wewe mrundi
 
Kama wewe unavyotwanga maji kwenye kinu kwa kuamini kuwa yesu wako atarudi baada ya siku 3000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…