Chadema ni zaidi ya chama cha siasa kwa sasa ni Imani/dini na ushabiki kwa watanzania wapenda haki

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba CHADEMA imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa Watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya CHADEMA.

Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo vya dola havitasidia lolote bali kuogeza chuki

Ni kweli madaraka ni matamu ila CCM wanapswa wajifunze kitu na wawe waadilifu saa ya ukombozi ipo karibu.saana nyakati hubadilika Tanzania ya leo siyo ya mwaka.1980.

Wanatakiwa waone mbali na wajiulize hii imani na mapenzi kwa chadema kwa Chadema yametoka wapi
 
Arusha IMEZIZIMA.....yeyote anayepambana na Chadema ajuwe anapambana na MUNGU
 
Screenshot_2025-05-28-18-13-57-1.png
 
GT
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba chadema imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya chadema.

Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo vya dola havitasidia lolote bali kuogeza chuki

Ni kweli madaraka ni matamu ila ccm wanapswa wajifunze kitu na wawe waadilifu saa ya ukombozi ipo karibu.saana nyakati hubadilika tanzania ya leo siyo ya mwaka.1980. Wanatakiwa waone mbali na wajiulize hii imani na mapenzi kwa chadema kwa Chadema yametoka wapi
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba chadema imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya chadema.✌🏿✌🏿✌🏿💢💢💢📌🔨🔨
 
GT
Wanaopambana na Chadema wanatakiwa wajue kwamba chadema imeshchukua sura tofauti kabisa vichwani mwa watanzania wengi, watu wapo tayari kwa lolotekwa ajilii ya chadema.

Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo vya dola havitasidia lolote bali kuogeza chuki

Ni kweli madaraka ni matamu ila ccm wanapswa wajifunze kitu na wawe waadilifu saa ya ukombozi ipo karibu.saana nyakati hubadilika tanzania ya leo siyo ya mwaka.1980. Wanatakiwa waone mbali na wajiulize hii imani na mapenzi kwa chadema kwa Chadema yametoka wapi
Sasa hawa wanaofikiria kwamba chadema inaweza kufa bado wanajidaganya. Watu.wamechishwa na CCM mabavu na nguvu ya vyombo vya dola havitasidia lolote bali kuogeza chuki📌📌📌🔨🔨💢✌🏿✌🏿✌🏿
 
Back
Top Bottom