Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini.
Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake wa juu tena nafasi ya makamu mwenyekiti kwa kutweza utu wake huku mwenyekiti akicheka wanayoyafanya viongozi hao mfano jinga la shinyanga NTOBI
Nimeamini mh Tundu lisu yupo kwenye taasisi ya wajinga iliyojaa mihemko ya kisiasa
Nimeamini kuwa mbowe nikiongozi anayejali maslahi yake binafisi Zaidi ya chama.
Mbowe kama mwenyekiti asingesema kuwa akiona chama kinazama ataingia mzigoni maana yake anaamini yeye bado NI mwenyekiti huu uchaguzi nikiini macho.
Mbowe mbinu anazotumia kuomba ridhaa ya chama kugombea nafasi ya mwenyekiti zimepitwa na wakati kwani mbinu hizo hutumiwa na viongozi ma dictator ambao huamini bila wao kuwepo hakuna kitu kinaweza kufanyika.
Wote mmesikia akisema kwenye chama anamchango mkubwa wa kukijenga Hilo halina ubishi lakini je hicho chama alikijenga mwenyewe.
watanzania tuwakatae viongozi Aina ya mbowe wanaweza kutumbukiza taifa SHIMONI tena kwenye kina kirefu.
Siamini wanachama wote waliohama chama hicho NI wasaliti ,walikaa nakuona Aina ya uongozi ndani ya chama na uendeshaji wake umejaa ubabaishaji.
Unaamini wengine 'Lissu' anaweza kuitoa CCM madarakani?Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.
P
Ni dakika sifuri!, lakini Mbowe hana uwezo huo!. Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kama mtu alisimama na hili jabali na kulitoa kamasi, 2025 kumsimamisha na poda, I shedow na lipstick si ni kama kumsukuma tuu mlevi?. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?Unaamini wengine 'Lissu' anaweza kuitoa CCM madarakani?
Mkuu,kisomo tia maji cha huyu mzee Mbowe ni shida kubwa saana.Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.
P
Unafiki at its best. Unawaongelea Watanzania wa wapi hao? Hawa hawa wanaowachagua viongozi tulio nao> Come on, be serious!Watanzania tuwakatae viongozi Aina ya mbowe wanaweza kutumbukiza taifa SHIMONI tena kwenye kina kirefu.
NI mafanikio yapi hayo waliohama waliyapata nje ya Chadema kuliko waliyoyapata ndani ya Chadema?Siamini wanachama wote waliohama chama hicho NI wasaliti ,walikaa nakuona Aina ya uongozi ndani ya chama na uendeshaji wake umejaa ubabaishaji.
Saturated solution ndio nini?Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.
P
Duh...!.Tangu lini wewe umetaka Chadema iingie Ikulu?
Amandla...
Mbowe ana machaguo mawili tu, Moja, Tundu Lissu awe mwenyekiti, na Pili Mbowe alazimishe kuwa mwenyekiti chama kimfie ramsi.Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini.
Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake wa juu tena nafasi ya makamu mwenyekiti kwa kutweza utu wake huku mwenyekiti akicheka wanayoyafanya viongozi hao mfano jinga la shinyanga NTOBI
Nimeamini mh Tundu lisu yupo kwenye taasisi ya wajinga iliyojaa mihemko ya kisiasa
Nimeamini kuwa mbowe nikiongozi anayejali maslahi yake binafisi Zaidi ya chama.
Mbowe kama mwenyekiti asingesema kuwa akiona chama kinazama ataingia mzigoni maana yake anaamini yeye bado NI mwenyekiti huu uchaguzi nikiini macho.
Mbowe mbinu anazotumia kuomba ridhaa ya chama kugombea nafasi ya mwenyekiti zimepitwa na wakati kwani mbinu hizo hutumiwa na viongozi ma dictator ambao huamini bila wao kuwepo hakuna kitu kinaweza kufanyika.
Wote mmesikia akisema kwenye chama anamchango mkubwa wa kukijenga Hilo halina ubishi lakini je hicho chama alikijenga mwenyewe.
watanzania tuwakatae viongozi Aina ya mbowe wanaweza kutumbukiza taifa SHIMONI tena kwenye kina kirefu.
Siamini wanachama wote waliohama chama hicho NI wasaliti ,walikaa nakuona Aina ya uongozi ndani ya chama na uendeshaji wake umejaa ubabe
Kwani Lissu ndie aliechaguliwa na yeye kumrithi jabali kabla hajapewa mpaka shedo mwingine? Kwa mujibu wa SAUTI.Ni dakika sifuri!, lakini Mbowe hana uwezo huo!. Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kama mtu alisimama na hili jabali na kulitoa kamasi, 2025 kumsimamisha na poda, I shedow na lipstick si ni kama kumsukuma tuu mlevi?. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
Iwapo Watanzania watakuwa wajinga kama Wamarekani Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
P
Tanzania ukisema ukweli wasiopenda kuusikia unaitea mropokajiLissu huwa namhurumia kwa yale marisasi yaliyoharibu mwili wake
Lkn lissu Ni mtu mwenye dharau na mropokaji Sana Hilo halina ubish
Naunga mkono hoja hii japo wewe ni kada wa CcmNaunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.
P
Asante, mimi ni mtu wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, japo kweli mimi ni kada wa CCM, ni wale makada wazalendo wanaotaka kuona nchi yetu ina a healthy opposition。Naunga mkono hoja hii japo wewe ni kada wa Ccm
'Healthy opposition ' ila isiyoweza kukishinda chama chako Ccm.Asante, mimi ni mtu wa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, japo kweli mimi ni kada wa CCM, ni wale makada wazalendo wanaotaka kuona nchi yetu ina a healthy opposition。
P
Kiongozi.... Haipendezi kumtaja mtu kwa Haiba yake(mwonekano, mavazi na mapambo/urembo n.k)Ni dakika sifuri!, lakini Mbowe hana uwezo huo!. Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! kama mtu alisimama na hili jabali na kulitoa kamasi, 2025 kumsimamisha na poda, I shedow na lipstick si ni kama kumsukuma tuu mlevi?. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
Iwapo Watanzania watakuwa wajinga kama Wamarekani Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
P