Chadema nimeamini kuna ombwe la uongozi

Chadema nimeamini kuna ombwe la uongozi

Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini.

Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake wa juu tena nafasi ya makamu mwenyekiti kwa kutweza utu wake huku mwenyekiti akicheka wanayoyafanya viongozi hao mfano jinga la shinyanga NTOBI

Nimeamini mh Tundu lisu yupo kwenye taasisi ya wajinga iliyojaa mihemko ya kisiasa

Nimeamini kuwa mbowe nikiongozi anayejali maslahi yake binafisi Zaidi ya chama.

Mbowe kama mwenyekiti asingesema kuwa akiona chama kinazama ataingia mzigoni maana yake anaamini yeye bado NI mwenyekiti huu uchaguzi nikiini macho.

Mbowe mbinu anazotumia kuomba ridhaa ya chama kugombea nafasi ya mwenyekiti zimepitwa na wakati kwani mbinu hizo hutumiwa na viongozi ma dictator ambao huamini bila wao kuwepo hakuna kitu kinaweza kufanyika.

Wote mmesikia akisema kwenye chama anamchango mkubwa wa kukijenga Hilo halina ubishi lakini je hicho chama alikijenga mwenyewe.

watanzania tuwakatae viongozi Aina ya mbowe wanaweza kutumbukiza taifa SHIMONI tena kwenye kina kirefu.

Siamini wanachama wote waliohama chama hicho NI wasaliti ,walikaa nakuona Aina ya uongozi ndani ya chama na uendeshaji wake umejaa ubabaishaji.
Tena, ni ombwe Kali sana sana !
 
Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.

P
Kweli kwa sasa apumzike tu.
 
Mmh maoni yako yanafikirisha mkuu,ngoja tusubiri,mungu atupe uzima inshaalah.
 
Mayalla manaake 'njaa'' in magufuli's voice.
Wewe Mayalla njaa inakusumbua hapo unafanya uchawa kwa Lissu ??? Anzisheni chama chenu Lissu mwenyekiti wewe Katibu acha kudandia mambo ya watu !
Lissu alikuwa uhamishoni miaka mingapi ??? Mbona CHADEMA hakikufa na Kamanda Mbowe alipita mkoa kwa mkoa kuimarisha chama wakati Lissu yuko huko Ulaya anazurura tuu !
 
Back
Top Bottom