Chadema nimeamini kuna ombwe la uongozi

Tena, ni ombwe Kali sana sana !
 
Naunga mkono hoja. Mbowe amefanya mengi makubwa na ya kutukuka Chadema, ila amefikia stage ya saturated solution, hapa ilipo ndio mwisho wa uwezo wake, apishe wengine wenye uwezo zaidi yake waiingize Chadema Ikulu, Mbowe hawezi!.

P
Kweli kwa sasa apumzike tu.
 
Mmh maoni yako yanafikirisha mkuu,ngoja tusubiri,mungu atupe uzima inshaalah.
 
Mayalla manaake 'njaa'' in magufuli's voice.
Wewe Mayalla njaa inakusumbua hapo unafanya uchawa kwa Lissu ??? Anzisheni chama chenu Lissu mwenyekiti wewe Katibu acha kudandia mambo ya watu !
Lissu alikuwa uhamishoni miaka mingapi ??? Mbona CHADEMA hakikufa na Kamanda Mbowe alipita mkoa kwa mkoa kuimarisha chama wakati Lissu yuko huko Ulaya anazurura tuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…