Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui.

Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya wachagga, mkuriya hawezi kutia mkono kwenye kapu la mchagga hata siku moja, wamemshika mkono, wakaukung"uta, kuulamba na kuutia mchanga ili asiambulie kitu. Heche hajui chadema ilivyoanzishwa, madhumuni yake na gharama yake.

Heche hajui kwamba walioianzisha chadema yako ambayo waliyaandika na ambayo hayakuandikwa lakini muhimu sana kuliko yaliyoandikwa. Heche na wenzake wanahangaika na yale yaliyoandikwa tu, shame on them.

Heche, mkuriya anaitumia chadema ya wachagga kujitajirisha, thubuuutu!!! kakwambia nani? Yaani mchagga akuachie saccos yake wewe chasaka ubunye na mkeo yeye akutizame tu?

Mnyika fedha ambayo anaweza kuwa na mamlaka nayo ni kama atapewa ruzuku ya Ts 500m anayoidai "serikali haramu" ikilipe chadema, sio ile inayopitia kwa Makamu Mwenyekiti, Heche.

Usione vinaelea vimeundwa
 
njaa haijifichi na njaa haina adabu 🐒
 
Abdul anatumia fedha zake vibaya sana kuwalipa MAZERO BRAINS.
 
Na kweli njaa haina adabu, ulishasema serikali ni haramu hamuitambui, lakini unaitaka serikali ikupe ruzuku. Baniani mbaya..
athari za kujipa umuhimu mkubwa wakati hawana, ndio haswa zinawatesa hawa wangwana hata kufikia hali hii ya kutokujua wanataka nini hasa,

kwasababu hivi sasa wanataka kila kitu,
lakini pia at the same time wanaona kila kitu kibaya na bado wanakitumia hicho hicho wanachodai ni kibaya 🐒
 
Kapu la mjanja mjinga hatii mkono. Heche anajifanya mjanja, akaanzishe chama chake kama anaona ni rahisi hivyo.
Kama Heche aliingiziwa pesa na wafanyabiashara kwenye account binafsi yaani navyowajua SISEMU wangekuwa washaweka Bank statements mapema sana ila mpaka sasa wamebaki na POROJO tu.
 
Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui.

Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya wachagga, mkuriya hawezi kutia mkono kwenye kapu la mchagga hata siku moja, wamemshika mkono, wakaukung"uta, kuulamba na kuutia mchanga ili asiambulie kitu. Heche hajui chadema ilivyoanzishwa, madhumuni yake na gharama yake.

Heche hajui kwamba walioianzisha chadema yako ambayo waliyaandika na ambayo hayakuandikwa lakini muhimu sana kuliko yaliyoandikwa. Heche na wenzake wanahangaika na yale yaliyoandikwa tu, shame on them.

Heche, mkuriya anaitumia chadema ya wachagga kujitajirisha, thubuuutu!!! kakwambia nani? Yaani mchagga akuachie saccos yake wewe chasaka ubunye na mkeo yeye akutizame tu?

Mnyika fedha ambayo anaweza kuwa na mamlaka nayo ni kama atapewa ruzuku ya Ts 500m anayoidai "serikali haramu" ikilipe chadema, sio ile inayopitia kwa Makamu Mwenyekiti, Heche.

Usione vinaelea vimeundwa
Mavi ya MAMA
 
Tumia akili mkuu hata kidogo basi chadema wanadai ruzuku ya 2025 sio ya 2026 wewe
 
athari za kujipa umuhimu mkubwa wakati hawana, ndio haswa zinawatesa hawa wangwana hata kufikia hali hii ya kutokujua wanataka nini hasa,

kwasababu hivi sasa wanataka kila kitu,
lakini pia at the same time wanaona kila kitu kibaya na bado wanakitumia hicho hicho wanachodai ni kibaya 🐒
Damu ya vijana wa watu waliowatoa kafara Oct29 kwa maslahi yao inawaandama na kuwatafuna. Walikuwa wanajua kwa 100% kuwa watauliwa lakini hawakujali. Huwezi kumwambia kijana akavamie na kuchoma moto kituo cha polisi na mali zinazolindwa na askari wenye bunduki halafu utegemee atakuwa hai, Walilijua hilo ndio maana wao na watoto wao hawakushiriki
 
Back
Top Bottom