CHADEMA: Ole wenu mkiipokea Mizoga ya CCM!


Rev. Kishoka;

Baada ya kupitia habari za mivutano ya kuhusu uchaguzi huu, nimebadili mawazo. Kama kuna uwezekano, Tanzania inahitaji Kagame wake. Dikteta mtaifa au kiongozi mwenye charisma mwenye kuweza kusukuma mambo single-handedly kwa manufaa ya taifa.
 

..hebu tufafanulie.

..madikteta wengi huku Afrika huanzia Jeshini.

..hata Kagame ni Luteni Jenerali wa RPF.

..Je, una maana huyo dikteta wetu awe ametokea "jei-wii"?
 
..hebu tufafanulie.

..madikteta wengi huku Afrika huanzia Jeshini.

..hata Kagame ni Luteni Jenerali wa RPF.

..Je, una maana huyo dikteta wetu awe ametokea "jei-wii"?


CCM imefuata sana chama cha kikomunisti cha China. Ingawaje chama tawala cha China sio cha demokrasia, lakini kinajitahidi sana kwenye delivery.

Kwa Tanzania tuna chama kinachotaka monopoly na kimeweza kufanya hivyo kwa zaidi ya miaka 50 lakini hakuna delivery.

Kama kutakuwepo na dikteta au mkiritimba ambaye anaweza kufanya delivery au kuleta matokeo, nadhani watanzania watamkubali.

Huyo mtu atatoka wapi? Kwa kweli sijuhi. May be Lowassa or Magufuli can rise up to the occasion. Otherwise, the country will experience another five years of staggering upward mobility.
 

Magufuli ni kibaraka wa Mkapa Kapachikwa pale kuwalinda walaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…