Mtoa mada ameongea kihisia nasio kiuhalisia.CHADEMA ikate pumzi, CCM ingetumia nguvu kukwapua Serikali za mitaa?
Labda nmsaidie Mtoa mada....CCM hata ifanye mambo gan,,WATU WAMECHOKA KUONGOZWA NA CHAMA KIMOJA MIAKA ZAIDI YA 50 NA BADO HALI ZAO ZAKIMAISHA ZKIWA CHINI.