Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

Mtakutana na kichapo cha haja huko field na sio hapa mitandaoni mnakojifariji.

Watu wengi hawamtaki Lisu wanamuona msaliti.
Ahahahaaaaa mmepanic wote mpaka mwenyekiti wenu
 
Ndo maana upo kama ulivyo
 
Mm na familia yangu kura ni kwa Lissu sitaki kusikia popoma wala mataga yeyote akiniambia kinyume chake.
 
Halafu kwann lisu tu?tofauti kati ya lisu na jiwe ni lisu analindwa na wananchi jiwe analindwa na jeshi .
 
Mwandishi mwenye sensitive information kutoka chama kikuu cha upinzani hawezi andika neno "mugombea" zaidi ya once.
Wewe utakuwa muuza vitunguu umeamua kupumzisha akili ambazo nazo hazina kazi ya kuzichosha.
Hawa ni wapwa tuinuane team
 
We mkorofi Sana, mbona unajijaradia Sana🤣😂🤣!
 
Hospitali ipo?
 
Unasema kachuja huku unazuia vyombo vya habari visiropoti habari zake...tumewashtukia hatumuweki Membe.
 
Lowassa hakuwa tishio kubwa ukimlinganisha na Lissu. Ndiyo maana mnaogopa na mnajitahidi kunyamazisha vyombo vya habari kutangaza mikutano na habari zake.
Mnalazimisha hio kuogopwa.......sa hv acha abwabwaje ila mwisho wa siku tume ndo itaapisha rais na huyo jamaa aendelee na kesi zake
 
Nilipoona neno "Mugombea" badla ya mgombea nikajua hakuna mwandishi hapa
Ninapoona neno badla instead of badala then hakuna mwandishi hapa.

Note:kabla ya kumchunguza mwenzako unatakiwa ujichunguze na wewe kabla ya kubwatuka tu from nowhere.

Grow up!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…