Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ujumbe mzuri sana huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe mzuri sana huu.
Ahahahaaaaa mmepanic wote mpaka mwenyekiti wenuMtakutana na kichapo cha haja huko field na sio hapa mitandaoni mnakojifariji.
Watu wengi hawamtaki Lisu wanamuona msaliti.
Ndo maana upo kama ulivyoJamaa Anataka aonewe huruma apewe nchi!
Hana sera.
Nadhani Mwenyekiti wa Chama keshaona ilo gap!
Sasa pale kijijini anatuonesha nyumbani Kwake anakosema nyumba inamabati chakavu-A mere small family yet he couldn't make it great despite ridhaa aliyopewa na wana Ikungi ndo anataka tumpe nchi???
Cant be serious.
Lissu ni msaliti na yule bwana wa sato ni muuaji na mfitiniMtakutana na kichapo cha haja huko field na sio hapa mitandaoni mnakojifariji.
Watu wengi hawamtaki Lisu wanamuona msaliti.
RISASI ,RISASI , AIRPORT, AIRPORT,Lissu hana sera zaidi ya RISASI, RISASI
Hawa ni wapwa tuinuane teamMwandishi mwenye sensitive information kutoka chama kikuu cha upinzani hawezi andika neno "mugombea" zaidi ya once.
Wewe utakuwa muuza vitunguu umeamua kupumzisha akili ambazo nazo hazina kazi ya kuzichosha.
Subiri uone kitakachotokea Sasa maana malofa TU ndio wanaoweza kumkubari TL!Hawa ni wapwa tuinuane team
Hospitali ipo?Huna ulijualo zaidi ya kudanga? Hoja kwenu ni sgr, stigler na midege yenu mibovu na miflyover! Au mna jipya msimu huu?
Nakutuma ukamwabie huyo father ako asiyejua kuwa, huku kwetu hatuna shida na hayo maflyover, madege, sgr Wala stiglers Bali majisafi na dawa hospitalini!
Asante kwa kuweka picha harisi ya Mtanzania.We lala ujipumzikie tuuView attachment 1535306
Mnalazimisha hio kuogopwa.......sa hv acha abwabwaje ila mwisho wa siku tume ndo itaapisha rais na huyo jamaa aendelee na kesi zakeLowassa hakuwa tishio kubwa ukimlinganisha na Lissu. Ndiyo maana mnaogopa na mnajitahidi kunyamazisha vyombo vya habari kutangaza mikutano na habari zake.
Nilipoona neno "Mugombea" badla ya mgombea nikajua hakuna mwandishi hapa
Ninapoona neno badla instead of badala then hakuna mwandishi hapa.Nilipoona neno "Mugombea" badla ya mgombea nikajua hakuna mwandishi hapa