Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
Hoja ipi! Kwa waislamu mtu yeyote anaweza kuongoza sala mradi awe muislamu.
Ukisikia busara sasa ndio hizi!, mtu hata kama hukubaliani nae, kwa vile ni kiongozi wako, unamheshimu!. Nakuomba faiza na sisi wazee wengine humu, akiwemo Mzee wetu Alamaa Mohamed Said, tujitolee kuwafunza adabu hawa madogo humu kuhusu kumheshimu rais wa nchi Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Binafsi sijakubaliana nae kwa hilo. lakini ndiyo nimekubali yaishe tu kwa kuwa ndiyo Rais wetu.
Ukweli mnaujuwa. Vitabu vipo wazi kabisa. Uoga tu wa kuwacha dhambi ndiyo unawatisha. (Islamophobia).Hakuna ubaya wowote kwa Mkristo kutamka salama leko, hayo ni maneno ya Nabii Issa mwenyewe yenye kumaanisha Amani iwe nawe kwa lugha ya Kiarabu. Japo Yesu ni Myahudi, ila alikulia nchi ya Misri barani Afrika hadi alipotimiza miaka 30, hivyo lugha yake ni Kiarabu!.
P
Naunga mkono hojaMaoni yangu juu ya hili, CHADEMA waachane moja kwa moja na huu unafiki ulioanzishwa na CCM; waachane kabisa na mambo ya dini katika siasa.
Huu ni unafiki mtupu, hakuna la zaidi ya hapo...
Well saidHoja ipi! Kwa waislamu mtu yeyote anaweza kuongoza sala mradi awe muislamu.
Naunga mkono hojaUpotofu wanaouiga toka CCM ni kuwa waTanzania watakipenda chama kwa kuwa karibu na dini yao. Huu ni ujinga.
WaTanzania watapenda chama kinachofanya shughuli zake kwa haki kwa kila mtu bila ya upendeleo unaohusisha tofauti za kidini au tofauti nyingine zozote...
Naunga mkono hojaMama samia alipoanzisha salamu kwa jina la jamhuri watu walimbeza mama aliona mbali. Dini na siasa havichangamani
duh...!.Chadema haina mamlaka ya kuamua nani ni muislamu wa kweli na nani wa uongo, pia mashehe wengi hujipendekeza CCM ili wajengewe misikiti na kupewa hela za kwenda Hija...
Naunga mkono hojaHata kama ulisemalo lingekuwa ni kweli, unfortunately kisiasa lina consequences.
Sasa chama makini inabidi kilifanyie kisijenge barrier kwa watu wengi au la kishupaze shingo kwa hoja kama ulizotoa kiendelee kuwa marginalised .
Maombi Wala hayatakiwi ya nini Sasa? Kaombeni kwenuMaoni yangu juu ya hili, CHADEMA waachane moja kwa moja na huu unafiki ulioanzishwa na CCM; waachane kabisa na mambo ya dini katika siasa...
Nani alikuambia!!Jifariji Hivyo hivyoMama samia alipoanzisha salamu kwa jina la jamhuri watu walimbeza mama aliona mbali. Dini na siasa havichangamani
Tanzania dini Kuu za the majority ni mbili tuu Ukristo na Uislam, the rest ni the minority, ila kwenye baadhi ya matukio machache, Hindu, na machifu wa dini za asili pia wanajumuishwa, lakini sijawahi kusikia Rastafarian wakihusishwa, au BuddhistSasa sisi wenye imani ya Rastafarian wahindu,n.k.
Inakuwaje?
Sahihi kabisa ila jamii kubwa ya Watanzania iko katika ulevi wa dini nao CHADEMA wanatembea humo humo.Maoni yangu juu ya hili, CHADEMA waachane moja kwa moja na huu unafiki ulioanzishwa na CCM; waachane kabisa na mambo ya dini katika siasa...
Wewe ndo unasema na labda ni kweli ipo hivyo sina pingamizi.Hakuna ubaya wowote kwa Mkristo kutamka salama leko, hayo ni maneno ya Nabii Issa mwenyewe yenye kumaanisha Amani iwe nawe kwa lugha ya Kiarabu. Japo Yesu ni Myahudi, ila alikulia nchi ya Misri barani Afrika hadi alipotimiza miaka 30, hivyo lugha yake ni Kiarabu!.
P
Kuna vitu kiukweli ni kutokujua tuu!, Yesu Kristo baada ya kufufuka, alipowatokea wanafunzi wake kwa mara ya kwanza, unajua aliwaambia nini , alitamka maneno gani na kwa lugha gani?.Wewe ndo unasema na labda ni kweli ipo hivyo sina pingamizi.
Lakini kiuhalisia haipo hivyo, kama mimi siipendi salam ya salam aleykum ni vile tu tunapaswa kuheshimiana haijalishi utofauti wa kiimani, na watanzania tuna umoja.
Hakuna haja ya kuingia ndani zaidi kiimani, mwisho wa siku kila mtu na imani yake huwezi lazimisha mtu aamini unachoamini wewe.Kuna vitu kiukweli ni kutokujua tuu!, Yesu Kristo baada ya kufufuka, alipowatokea wanafunzi wake kwa mara ya kwanza, unajua aliwaambia nini , alitamka maneno gani na kwa lugha gani?.
P
Lakini wanasiasa wana dini zao, hivi vitu siku zote mimi huwa naona havitenganishiki, na kujaribu kuvitenganisha ni sawa na kujidanganya tu.Maoni yangu juu ya hili, CHADEMA waachane moja kwa moja na huu unafiki ulioanzishwa na CCM; waachane kabisa na mambo ya dini katika siasa.
Huu ni unafiki mtupu, hakuna la zaidi ya hapo.
Acha watu waombe kwa Mungu wao wanayemwamini majumbani mwao na kwenye nyumba zao za ibada.
Huyu Mungu wa maonyesho katika matamasha ya siasa ni utapeli mtupu.
Mungu anayeipenda Tanzania, hana makundi ya watu wenye kuhimiza tofauti zao kwa Mungu huyo huyo mmoja anayeipenda nchi yao na watu wake wote.
Atakaye kujua, hujua!.Hakuna haja ya kuingia ndani zaidi kiimani, mwisho wa siku kila mtu na imani yake huwezi lazimisha mtu aamini unachoamini wewe.
Kutofautiana kupo na kutaendelea kuwepo haijalishi ni nani yupo sahihi .
Point yangu ilikuwa ni kwamba viongozi wa kisiasa kusalimia kwa salamu ya dini zote wengi ni unafiki, hawamaanishi mioyoni mwao. Ni bora salamu ya mama samia haiegemei kwenye imani yoyote ya dini.