Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
- #41
Kuna rafiki yangu ni Mwarabu Mkiristu wa Misri (Coptic church) ananiambia Salam Lakum ni miongoni mwa salamu zao za kawaida kabisa.Kuna vitu kiukweli ni kutokujua tuu!, Yesu Kristo baada ya kufufuka, alipowatokea wanafunzi wake kwa mara ya kwanza, unajua aliwaambia nini , alitamka maneno gani na kwa lugha gani?.
P