Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
-
- #41
Kuna rafiki yangu ni Mwarabu Mkiristu wa Misri (Coptic church) ananiambia Salam Lakum ni miongoni mwa salamu zao za kawaida kabisa.Kuna vitu kiukweli ni kutokujua tuu!, Yesu Kristo baada ya kufufuka, alipowatokea wanafunzi wake kwa mara ya kwanza, unajua aliwaambia nini , alitamka maneno gani na kwa lugha gani?.
P
Lini CHADEMA imejaribu kuvutia waislam as if ni special group? CHADEMA miaka 8 iliyopita ilishinda jiji la dar ambalo ni dominant Muslim ndio sembuse Leo hii ambapo watu wameamka kielimu na kiuelewa kuliko awali?CHADEMA wamefanya kila juhudi kuvuta waislam ndani ya chama chao kwa mafanikio hafifu sana,
Wameshindwa hoja za msingi wanajaribu hoja za udini wakisahau CCM inalazimisha kuwavutia waisilamu kwa kuwajengea misikiti na kuwagharamia hija.Lini CHADEMA imejaribu kuvutia waislam as if ni special group? CHADEMA miaka 8 iliyopita ilishinda jiji la dar ambalo ni dominant Muslim ndio sembuse Leo hii ambapo watu wameamka kielimu na kiuelewa kuliko awali?
CHADEMA ndio chama Cha upinzani pekee kilichofika mikoa na wilaya zote Tanzania bara Sasa unapo cluster wapiga kura kwa misingi ya dini ni ajabu kidogo maana Nina uhakika hauna takwimu za wapiga kura based na dini kiasi useme "imejaribu kuwavutia waislam bila mafanikio".
Nachofahamu CHADEMA imewavutia waTanzania sababu ya hoja zao zinazounganisha watu maana njaa na umaskini Haina dini
Wazungu hawakuleta ukirisitu Afrika, soma bibilia ujue Yesu alitembelea wapi ujanani mwake ambapo Afrika imo.Atakaye kujua, hujua!.
Anayejua kuwa hajui, na anatakakujua, huyo ni mjinga, atafunzwa ujinga utamtoka, atakuwa mwerevu, atajua.
Anayedhani anajua, hajui kuwa hajui, hawezi kujua!, huyo ni...
Najitolea kukujuza
Yesu alipowatokea watumishi wake kwa mara ya kwanza, aliwasalimia Aslam Aleykum kwa lugha ya Kiarabu, "Amani iwe kwenu".
Wamisionari wazungu walioleta Ukristo Africa, kuna vingi hawavisemi na vingine wanadanganya!. Mfano ni mavazi ya wanawake akiwemo Bikira Maria, ni Hijab!
P
Sio Yesu alitembelea wapi, ni alikulia wapi hadi umri wa miaka 30!, ni Africa, na lugha aliotumia ni Kiarabu!.Wazungu hawakuleta ukirisitu Afrika, soma bibilia ujue Yesu alitembelea wapi ujanani mwake ambapo Afrika imo.
Sidhani marasta wa Tanzania wanaijua maana yake zaidi ya kusuka na kula ganja huku hawana umoja wao au kanisa lao. Baadhi ya nchi jirani zinamakanisa yao na ni rasmi serikalini.Tanzania dini Kuu za the majority ni mbili tuu Ukristo na Uislam, the rest ni the minority, ila kwenye baadhi ya matukio machache, Hindu, na machifu wa dini za asili pia wanajumuishwa, lakini sijawahi kusikia Rastafarian wakihusishwa, au Buddhist
P
Uisilamu na ukatoliki hautofautiani sana kwenye kwenye mwenendo wa sala zao na ukiristu na uisilamu ulianzia sehemu moja japo tuliodandia kutokana na imani za wazazi wetu tunadai ukiristu ni dini ya wazungu!Sio Yesu alitembelea wapi, ni alikulia wapi hadi umri wa miaka 30!, ni Africa, na lugha aliotumia ni Kiarabu!.
Dress code yake ni ya Kiarabu!. Kanisa la kwanza ni Constantinople, Uturuki, Roma wakavamia, wakavunja, waka loot everything na kuhamishia Rome, na ndio ukawa mwanzo wa Roman Catholic, hawataki watu wajue kanisa lilianzia Arabuni!.
P
Ndivyo wazungu walivyotufanya tuamini hivyo!, Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmojaUisilamu na ukatoliki hautofautiani sana kwenye kwenye mwenendo wa sala zao na ukiristu na uisilamu ulianzia sehemu moja japo tuliodandia kutokana na imani za wazazi wetu tunadai ukiristu ni dini ya wazungu!
Si wazungu tusiwasingizie kwa kila jambo, wengi wetu tulifuata dini za babu zetu bila kuzichimba tujue mizizi yake na tulishia kwa wale waliotufundisha tuamini kuwa ni zao japo hawakutuambia hivyo, na kwa wakiristu hatukujiuliza kwa nini Jerusalemu na si ulaya huku tukisema dini ya wazungu! Na bado wapo wajinga wameng'ang'ania hivyo kuuridhisha ujinga wao huku wakishindwa kujiuliza kwanini wapalestina na waisraeli hawapigani kwa misingi ya dini.Ndivyo wazungu walivyotufanya tuamini hivyo!, Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja
P
Nikurekebishe tu,Sio Yesu alitembelea wapi, ni alikulia wapi hadi umri wa miaka 30!, ni Africa, na lugha aliotumia ni Kiarabu!.
Dress code yake ni ya Kiarabu!. Kanisa la kwanza ni Constantinople, Uturuki, Roma wakavamia, wakavunja, waka loot everything na kuhamishia Rome, na ndio ukawa mwanzo wa Roman Catholic, hawataki watu wajue kanisa lilianzia Arabuni!.
P
Sawa, lakini kuna wakati wa "ulevi", na kuna wakati wa shughuli nyingine muhimu pia pasipohitajika ulevi.Sahihi kabisa ila jamii kubwa ya Watanzania iko katika ulevi wa dini nao CHADEMA wanatembea humo humo.
Andiko ni kama lina uchungu fulani hivi (bitterness), ni kipi kinachokusibu mkuu' zitto jr' nyakati hizi.Lini CHADEMA imejaribu kuvutia waislam as if ni special group? CHADEMA miaka 8 iliyopita ilishinda jiji la dar ambalo ni dominant Muslim ndio sembuse Leo hii ambapo watu wameamka kielimu na kiuelewa kuliko awali?
CHADEMA ndio chama Cha upinzani pekee kilichofika mikoa na wilaya zote Tanzania bara Sasa unapo cluster wapiga kura kwa misingi ya dini ni ajabu kidogo maana Nina uhakika hauna takwimu za wapiga kura based na dini kiasi useme "imejaribu kuwavutia waislam bila mafanikio".
Nachofahamu CHADEMA imewavutia waTanzania sababu ya hoja zao zinazounganisha watu maana njaa na umaskini Haina dini
Mkuu Missile of the Nation , asante kwa bandiko hili ni shule tosha!. Kiukweli kabisa kwa vile Misri ni nchi ya Kiarabu, Yesu Kristo amekulia Misri, basi tusio deep tukadhani Yesu Kristo alizungumza lugha ya Kiarabu!.Nikurekebishe tu,
Yesu alikwenda Misri utotoni, wakati huo Misri siyo Taifa la Kiarabu, ni Taifa lililokuwa chini ya himaya ya Kirumi, chini ya mfalme Augustus. Na lugha ya Kimisri wakati huo ni Coptic, siyo kiarabu.
Yesu lugha yake ya asili ni ARAMAIC siyo ARAB. Kiaramaic bado kinazungumzwa leo katika baadhi ya maeneo ya Syria.
Kwa hiyo kwa kuwa lugha ya Torah ilikuwa ni Kihebrania, ni dhahiri Yesu alikuwa pia akijua lugha ya KIHEBRANIA.
Na kwa kuwa lugha ya Kisomi wakati huo kule Judea ilikuwa ni Kigiriki( Kutokana na Legacy ya Alexander the great naye kutawala maeneo mengi ya huko) basi huenda Yesu pia alikuwa akiongea Kigiriki pia.
Ila kuhusu neno Assalamu Aleikum ambayo ipo kwa kiarabu, kwa Kihebrania Wayahudi wao husema Shalom Aleichem (Hebrew: שָׁלוֹם עֲלֵיכֶם, 'Peace be upon you'). Na kuna wimbo wa kiyahudi unaitwa Shalom Aleichem ambao huimbwa na Wayahudi kila Ijumaa jioni watokapo katika masinagogi kusignal kuwa Sabato imeanza
Kwa hiyo kiufupi ni kweli Yesu aliwaambia wanafunzi wake "Shalom Aleichem" ila Walokole kwa kuhofia hiyo salamu itafanana na salamu ya Waislamu basi huondoa neno Aleichem, hubakisha "Shalom" peke yake.
Dah!Nikurekebishe tu,