CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe.

Mtanishukuru baadaye.

CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana.

Kumbuka msajili mwenyewe CCM, unadhani atakiruhusu chama kipya ambacho anajua kitaleta changamoto kisajjiliwe?

Kumbuka kikisaniliwa, Nyie mtakuwa mnapiga Kagera, wao wanapiga Mtwara.

Ukiacha CHADEMA. Chama ambacho katiba yao na malengo yanatekelezea ni IPP.

Ndo Maana Msajili anakizungusha kusajiliwa tangu 2023.

www.jamiiforums.com/threads/wanachama-independent-peoples-party-ipp-wamburuza-msajili-mwanasheria-mkuu-mahakamani.2339310/
 
Back
Top Bottom