Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #101
AhaaaWaache kujipendekza kwa polisi, eti wanafikiri ligaidi lao ndio litaonewa huruma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaWaache kujipendekza kwa polisi, eti wanafikiri ligaidi lao ndio litaonewa huruma.
Kwa hiyo mkuu hapa unamaanisha wangesema hamza ametwaa😅😅😅... "Bwana ametoa, Bwana ametwaa" ni sawa na mbingu na ardhi kwa tukio lile hususan sterling wa tukio! Jifunzeni context ya tukio na kutumia proper wording or delivering appropriate message.
Uongo siku zote hutumia lift kwenda juu.Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.