CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

... "Bwana ametoa, Bwana ametwaa" ni sawa na mbingu na ardhi kwa tukio lile hususan sterling wa tukio! Jifunzeni context ya tukio na kutumia proper wording or delivering appropriate message.
Ulitaka asemeje?
 
hawa Chadema wanamkejeli, na wanawakejwli mara zote askari wetu. sio wakweli hata kidogo. tuwe nao makini sana, tuwamulike kwa jicho la tatu.
Chadema kutoa pole kwa jeshi la polisi imekua kejeli tena?!
 
Wanafiki wakubwa Chadema mbona hawakutoa Rambirambi wakati Askari kibao waliouawa na magaidi mkuranga ,kibiti nk kipindi kile?

Na hata siku ya kuaga Askari waliouawa hawakukanyaga
Wakawa tu wanazodoa polisi bungeni nk

Chadema kwa Nini hamkutuma salamu za Rambirambi kipindi kile ambako Askari wengi waliuawa kuliko Hawa wawili?
Kila jambo lina wakati wake
Hata wewe hukuwa ulivyo sasa,zamani ulikuwa na akili lakini umekuwa mccm akili zimepungua.
Je tukuulize kwanini wakati huu huna akili?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana, hizi ndiyo siasa zinazotakiwa nchi hii, CCM anamuhitaji CDM, na CDM anamuhitaji CCM!! Sasa ile michango wanayoomba akina Pambalu nitaanza kuchangia! Hongereni CDM, mmeonesha maturity level kubwa sana ikizingatiwa nini kinaendelea na Mkiti wenu, lakini naamini pia bwana Abubakar atakuwa free soon
 
hawa Chadema wanamkejeli, na wanawakejwli mara zote askari wetu. sio wakweli hata kidogo. tuwe nao makini sana, tuwamulike kwa jicho la tatu.
Kwa nini uishie jicho la tatu. Wamulike kwa jicho la 100 kabisa.
 
CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA, endeleni kujiingiza kwenye 18 za police. Given tuhuma zinazomkabili mwnykiti wenu nynyi mngekaa kimya kabisa muache kimbelembele. Mkiambiwa mmstage hili tukio ili ku prove jambo mtakataa?
Wapu.mbavu wanaweza kufikiria hivyo. Tusifanye mambo kwa kuogopa wapu.mbavu watasema nini.
 
Hata kama ni Siasa, Mkuu hapa Umezidi. Mimi ni Mwana CCM, lakini siamini Chadema wana nia hii. Tuache cheap politics na kuwaonea Wapinzani wetu kisiasa kwa kutumia Dola. Tujikite katika Ajenda za Maendeleo, wananchi watatuchagua. After all, hata Kodi tunalipa wote, CCM na wasio wana CCM. Wote tunatakiwa kuwa Raia sawa katika nchi yetu.
bahati mbaya mkuu mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtanzania, naipenda nchi yangu, ila inapo tokea chama chochte kina hubiri na kuhamasisha uvunjifu wa amani siwezi kukaa kimya, CHADEMA ni Chama ambacho tayari kimeonyesha wazi ni chama kinacho hamasisha uvunjifu wa amani, Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe tayari anakabiliwa na Mashitaka ya Ugaidi, hujiulizi swali tu kama Baba yao alikuwa anaratibu matendo ya Kigaidi je watoto (Vionhozi wenzake na wafuasi) wake watakuwa na tabia gani?! ni hatari sana, hiki chama kilipaswa kufutwe kabisa.
 
Kipindi kile Askari wanauawa hovyo na vituo vya polisi kuvamiwa na Askari kuporwa silaha na kuuawa hawajawahi toa pole Wala Rambirambi hata ya maneno

Hizi salamu Ni kebehi tu kwa IGP na jeshi la polisi

Wanawakebehi

..mbona Magu hakwenda kuwaaga askari polisi, au jeshi, waliokufa wakiwa kazini?

..umeona wapi askari wanakufa kama ilivyotokea hapa kwetu halafu Amiri Jeshi Mkuu hatokei kuwaaga na kuwapa heshima?
 
Ulitakiwa umkumbushe intelijensia ya polisi isiishie kwenye vyama vya upinzani tuu. Bali iingie kwenye mambo kama haya.
 
Sirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman

Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
Na kwa nini chadema kuwa wa kwanzaa tena haraka kutoa salamu za rambirambi?
 
Wanafiki wakubwa Chadema mbona hawakutoa Rambirambi wakati Askari kibao waliouawa na magaidi mkuranga ,kibiti nk kipindi kile?

Na hata siku ya kuaga Askari waliouawa hawakukanyaga
Wakawa tu wanazodoa polisi bungeni nk

Chadema kwa Nini hamkutuma salamu za Rambirambi kipindi kile ambako Askari wengi waliuawa kuliko Hawa wawili?
Mkuu punguza hasira. Yani hutaki hata salamu za pole?
 
CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA, endeleni kujiingiza kwenye 18 za police. Given tuhuma zinazomkabili mwnykiti wenu nynyi mngekaa kimya kabisa muache kimbelembele. Mkiambiwa mmstage hili tukio ili ku prove jambo mtakataa?
Salamu za rambi rambi si uadui.
 
Back
Top Bottom