Hiyo mitqa huww napita huwa nadhani muda wote wenye miwani mieusi wananiona kumbe ni geresha tu. Muda huo ni mrefu kwa maeneo sensitive kama hayo.Sirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman
Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
Sasa ingekuwa Mbagala kwetu si angemaliza mtaa mzima?