Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Hii pole naona ina spana kwa mbali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe choqo unakumbuka Mnyika alipoleta hoja bungeni kuhusu mauaji ya Kibiti alijibiwa nini na Serikali yenu dhalimu?Wanafiki wakubwa Chadema mbona hawakutoa Rambirambi wakati Askari kibao waliouawa na magaidi mkuranga ,kibiti nk kipindi kile?
Na hata siku ya kuaga Askari waliouawa hawakukanyaga
Wakawa tu wanazodoa polisi bungeni nk
Chadema kwa Nini hamkutuma salamu za Rambirambi kipindi kile ambako Askari wengi waliuawa kuliko Hawa wawili?
Achana na hao akili ndogo.Wewe choqo unakumbuka Mnyika alipoleta hoja bungeni kuhusu mauaji ya Kibiti alijibiwa nini na Serikali yenu dhalimu?
Mchawi ndio anakuwaga kimbelembele msibani!Why?
Ujumbe hapa ni kwamba hao ndio magaidi ambao Siro anapaswa kuwashughulikia na sio Mbowe!
Kipindi kile Askari wanauawa hovyo na vituo vya polisi kuvamiwa na Askari kuporwa silaha na kuuawa hawajawahi toa pole Wala Rambirambi hata ya manenoUtumiage angalao akili yako,kama ipo pale gate la kijani usikubali ifuate. Ikusaidie sio kwa ujinga huo.
... "Bwana ametoa, Bwana ametwaa" ni sawa na mbingu na ardhi kwa tukio lile hususan sterling wa tukio! Jifunzeni context ya tukio na kutumia proper wording or delivering appropriate message.
Hoja ilisemaje? Ulisikia inaongelea mauaji ya polisi yachunguzwe? Zitto na Chadema hawajawahi ongelea kuwa mauaji ya polisi yachunguzweWewe choqo unakumbuka Mnyika alipoleta hoja bungeni kuhusu mauaji ya Kibiti alijibiwa nini na Serikali yenu dhalimu?
Kama yule aliempa Pole Lissu kupitia twitter kwa kushambuliwa na risasi na kutaka wahusika wakamatwe ingawa mpaka leo hata sura zao hazijulikani!Mchawi ndio anakuwaga kimbelembele msibani!
Sasa kama mfadhili mkuu amekamatwa mbona bado Polisi wanauawa huku nje?wanafadhiliwa na nani?Gaidi namaba moja na mfadhili mkuu wa Vitendo vya kigaidi Mbowe yupo anasubiri Mkono wa sheria.
Asee huyu jamaa kumbwe kashaenda hadi nje kusoma elimu ya dini inasemekana alienxa akiwa akili hazipo sawa ila kwa sasa aliposoma alipona kabisa na akawa fresh tuu lakini kwa mujibu wa wanaomjua na majirani wanadai alimuwa kila siku ndoto zake ni kwenda nje (n hi za kiizlam zenye itikadi kali na kauli zake za mwisho wanadai alikuwa anasema hapendi uonevu.Uchunguzi uanzie hapo Kinondoni!
Ramli chonganishi, baada kukosa weledi wa kumkamata akiwa angalau anapumua.alikuwa anasubiria msafara huyo
Hata kama ni Siasa, Mkuu hapa Umezidi. Mimi ni Mwana CCM, lakini siamini Chadema wana nia hii. Tuache cheap politics na kuwaonea Wapinzani wetu kisiasa kwa kutumia Dola. Tujikite katika Ajenda za Maendeleo, wananchi watatuchagua. After all, hata Kodi tunalipa wote, CCM na wasio wana CCM. Wote tunatakiwa kuwa Raia sawa katika nchi yetu.CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimmhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
hawa wahuni nia yao sio nzuri kwa nchi, wanafurahia na kushadadia vitendo vya uvunjifu wa amani, wafuatilieni kwa karibu sana
Kwa vile huna akili timamu sikulaumuHoja ilisemaje? Ulisikia inaongelea mauaji ya polisi yachunguzwe? Zitto na Chadema hawajawahi ongelea kuwa mauaji ya polisi yachunguzwe
Narudia hizi salamu zao wana like joke jeshi la polisi hakuna Cha ziada
Nenda kawasaidie kuokoteza, wanaweza kuja kukupa ajira. Wanapwaya sana kwenye ubumbaji.CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA, endeleni kujiingiza kwenye 18 za police. Given tuhuma zinazomkabili mwnykiti wenu nynyi mngekaa kimya kabisa muache kimbelembele. Mkiambiwa mmstage hili tukio ili ku prove jambo mtakataa?