mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha...!!
Mbowe mjanja sana..."makamanda hakuna mshahara miezi sita"..."hatuchukui ruzuku"...sasa kaamua kiwapiga makamanda kwa michango
Kitam, Mo, manji na wengine huwa nao wanatoaga Tsh ngapi kwa CCM? Huwa nao ni hii hii 1,200/- tunayolipa sisi hivi, hasa hasa kipindi cha uchaguzi?
Sema tu kingine, ila ukisema kuhusu michango ndugu yangu ccm wamezidi kwa kuwakamua wanachama matajiri
CCM na Serikali yake ni Majambazi.Wangeweka na kadi nyingine iitwe Chrysoberyl, ada kwa mwaka iwe sh.1,000,000.Ruzuku za vyama ni upuuzi. Vyama viendeshwe na wanachama.
CCM ina wanachama milioni 8, wanashindwa kukitegemeza chama, wanaishia kuiba pesa ya wananchi kwa kisingizio cha ruzuku.
Hhah😂😂 naona mkuu gharama sio rafiki
Acha matusi basi,,,ona kalivyo kafupi 😃😃Safi sn chadema...... Hiki ndio chama cha ukombozi wa Tanzania...... Huu ukoo qa panya walishashindwa kuomgoza nchi sasa wanajichotea tu pesa na kuvunja katiba na sheria za nchi mbwa hawa
Tume huru ni lazimaSasa kadi za Nini wakati 2025 Mwamba kasema Chama chetu pendwa hakitashiriki uchaguzi????
Hayo yakoUnakuwa na Madaraja ya Uanachama kisha unasema Wanachama wote watakuwa na haki sawa?
Siyo kweli.
Chadema wafikiri upya hapa.
Hiyo mtasubiri Sana wapendwa!!!kifupi haipo na kamwe haitatokeaTume huru ni lazima
Matusi na uchawi ndio silaha ya KapukuMbowe mjanja Sana
Ana misukule yake anainyonya Hadi mk*ndu
Hamtoboi ng'o.1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka
2.kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka
3.kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka
4.Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka
5.Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka
Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo Chadema ilishazikataa kitambo kwa vile hazikuwa za halali.
MUHIMU SANA : Pamoja na kadi hizo kuwa na viwango tofauti lakini hadhi ya wanachama wote ni sawa , viwango tofauti vimewekwa kwa ubunifu tu ili kuongeza mapato ya Chama yatayowezesha kijiendeshe bila kukwama .
Ombi : Chadema ituwekee utaratibu sisi wengine tulio na uwezo wa kulipa zaidi ya hivyo viwango vyao hata kwa kutuandalia risiti maalum bila hata kubadilisha viwango vilivyowekwa , Kwa mfano naweza kulipa milioni 3 lakini nikaomba nipewe kadi ya bluu ambayo ada yake kwa mwaka ni 2500/= tu
View attachment 1800416
Nilidhani unasema mjinga kumbe majanjaMbowe mjanja sana..."makamanda hakuna mshahara miezi sita"..."hatuchukui ruzuku"...sasa kaamua kiwapiga makamanda kwa michango