CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

Ngoja niitafute ile barua ya Ole sabaya aliyokuwa anaomba milioni 5 kwa mfanyabiashara pale Moshi kuichangia CCM
 
CCM na Serikali yake ni Majambazi.
 
Mwenyekiti kashazeeka, kaishiwa ufanisi, wacha wajinga wapigwe
 
Mkiambiwa ni saccos mnakuja juu eti tunawatolea lugha za kuudhi.
====
Ni majukumu ya kukitumikia chama tu ndiyo yanatofautisha uanachama wa mtu. Ikifika mwanachama anatofautishwa na kadi ya chama chake kwa kigezo cha fedha na kadi hiyo ya chama inakaribia kabisa kuwa sawa na hisa...hicho siyo chsms tena bali saccos au kitu cha namna hiyo.
 
Chama Cha kibaguzi sana hiki

Hayo madaraja ya Nini kama wote ni binadamu??

Huku CCM wote tunalipa ada moja, uwe Rais au Mkulima ada ni Moja.

Haya Watanzania nendeni Chadema mkabaguliwe.
 
Sasa kadi za Nini wakati 2025 Mwamba kasema Chama chetu pendwa hakitashiriki uchaguzi????
 
Safi sn chadema...... Hiki ndio chama cha ukombozi wa Tanzania...... Huu ukoo qa panya walishashindwa kuomgoza nchi sasa wanajichotea tu pesa na kuvunja katiba na sheria za nchi mbwa hawa
Acha matusi basi,,,ona kalivyo kafupi 😃😃
 
Unakuwa na Madaraja ya Uanachama kisha unasema Wanachama wote watakuwa na haki sawa?

Siyo kweli.

Chadema wafikiri upya hapa.
 
Hamtoboi ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…