Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Mkuu Allen una akili nyingi mnoo, swali lako liko smart sanaHawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani chama chao ndiyo Tanzania?
Aisee! Hiyo siyo sawa,dawa ni kupambana na hali halisi!!Mm naona kwa hali ilivyosasa bora wangesitisha access ya kujiunga jf kwa wanachama wapya kwa muda mpaka uchaguzi
Ushamba tuHawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Mm naona kwa hali ilivyosasa bora wangesitisha access ya kujiunga jf kwa wanachama wapya kwa muda mpaka uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vijana wamo humu siku nyingi, wengine W alipelekwa China kwa IT crushe course. Labda waongezwe.Naunga mkono hoja kwa 100%. Jamii forums sasa hivi imezidi kuwa mwiba mkali, na hivi karibuni watamwagwa vijana humu ndani kuja kuchafua mijadala na kupiga mapambio.
Kwanini mnapingaHawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?