Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mbona vijana wamo humu siku nyingi, wengine W alipelekwa China kwa IT crushe course. Labda waongezwe.
Yes wapo, ila nimesema watamwagwa, kwa mantiki wataongeza nguvu.
Mbona vijana wamo humu siku nyingi, wengine W alipelekwa China kwa IT crushe course. Labda waongezwe.
Kweli kabisa Mkuu..Ben Saanane ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga kutoka kwa CCM ya Magufuli, wakamuua
Mhe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu LISSU ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga mitandaoni kutoka kwa CCM ya Magufuli, kilichompata nikifo cha risasi, ni Mwenyezi Mungu tu aliemponya.
M/Mungu akutangulie na akulinde kiongozi wangu MAXE MELLO. Ukweli ni nikwamba CCM ya Magufuli wakiandika hivyo ujue mda wowote wanakuua.
CCM ya Magufuli ni genge la KIGAIDI linaloratibu UGAIDI IKULU kuwamaliza Watanzania. CCM NI LAANA WANACCM WOTE NI LAANA.
Mmoja wapo wa WAPUMBAVU wa huko CCM ni wewe.
Na anakuwa katumwa na majogoo aah sorry mabeberu.Hawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Hilo la kumwaga WAJINGA-WAJINGA hapa jf walishashindwa kitambo Sana maana kila wanapojitahid kufanya wanashindwa Kwa hoja zenye nguvu..Kwa kifupi hawana pa kusimamia zaidi ya kutumia vyombo vya DolaNaunga mkono hoja kwa 100%. Jamii forums sasa hivi imezidi kuwa mwiba mkali, na hivi karibuni watamwagwa vijana humu ndani kuja kuchafua mijadala na kupiga mapambio.
Mkuu Max natumai tayari umepa dikizwa microchip inayosoma GPRS, pia kwa level uliyonayo lazima utembee na vifaa vya kuchukua picha na sauti visivyoonwa na hawa wasiojulikana
Kuna watu wema Kama huyu,si wa kumlaum Bali kumpongezaUsingekuwa mwenzao ungejuaje hiyo mijadala ya max huko?!
Uchaguzi unakaribia, ili kulinda maslahi ya chama chao huwa wanafanya hivyo, kufuatilia nyendo za watu.
Kwa sababu ya kupoka uhuru wa watanzania hivyo wanadhani wanahatimiliki ya zanzaniaHawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Alinufaika nayo sana. Aliweka watu wengi tu kizuizini na hakuhojiwa popote na yeyote kwasababu ya kulindwa na hiyo Katiba ambayo kimsingi aliiandika yeye na ccm.View attachment 1307420
Ni kwa nini aliondoka madarakani bila ya kuirekebisha Katiba aliyoitilia shaka kwamba inaweza kuwa mwiba kwa watanzania?
Hebu fanyeni kweli basi jamani tumechokaKama wanataka kuuona moto wajaribu Kumgusa Melo tutahakikisha nchi inavurugika kwa namna yoyote ile unamuua vipi mtanzania mwenzetu mwenye postive impact kiasi hiki kisa madaraka na mtu ajaribu aone vita jinsi gani uwa inaanza.
Mkuu, hawa watu sio kama hawajui kinachoendelea, la ! hawa ni watu wachache wanaolinda maslahi ya matumbo yao tu. Hawa hawatakubaliana na chochote chema ambacho kitahatarisha maslahi yao! Bahati mbaya sana kwamba watanzania hadi sasa hatujajinasuwa nao!Hawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Huyu Mimi huwa smkubali hata kidogo,alikuwa na maneno matamu lakini matendo Ni 0.View attachment 1307420
Ni kwa nini aliondoka madarakani bila ya kuirekebisha Katiba aliyoitilia shaka kwamba inaweza kuwa mwiba kwa watanzania?
Sikumlaumu, nimesema asingekuwepo huko angejuaje yanayisemwa huko?!Kuna watu wema Kama huyu,si wa kumlaum Bali kumpongeza
Hilo swali najiulizaga kila sikuView attachment 1307420
Ni kwa nini aliondoka madarakani bila ya kuirekebisha Katiba aliyoitilia shaka kwamba inaweza kuwa mwiba kwa watanzania?
Hawa tiss uvccm hawana akili hizo