CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

Nianze kwa kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kukataa uonevu kwa vitendo. Ushauri wangu ni kwamba:
1. Mkifuatiliwa na magari ambayo yanautata, toeni taarifa Polisi wasipojibu au kuchukua hatua kwa haraka, tumieni kila njia angalau hata gari moja inayowafuatilia ichomwe moto. Hakikisha muwe na ushahidi wa kutoa taarifa Polisi bila kujibiwa hata kwa kurecord mawasiliano.

2. Umeibuka utaratibu wa kuwafungulia watu kesi zisizo na dhamana. Yawezekana hata wale wasaidizi wa JJM yakawakuta. Niwaombe msikae kimya ni vema kama ni kukinukisha kinuke kweli kweli kuliko kivumilia uonevu wa aina hii. Yalishatokea kwa baadhi ya wabunge wenu (Lema & Sugu). Kuendelea kuyavumilia ni sawa na kuwavunja moyo wale walioko nyuma yenu. Kama ninyi mnakubali kufanyiwa hivyo vipi pale watakapofanyiwa wanachama wenu mtaweza kuwatetea kweli? Tafakari

3. Max Melo kaa chonjo. Naona mjadala juu yako unaendelea kupamba moto hivyo kuwa mwangalifu sana.

View attachment 1307376
Wanakujadili sana na sio kwa nia njema.
Tanzania imelaaniwa na inaongozwa na waliolaaniwa.....sasa hapo Melo ana kosa gani?
 
Max anatakiwa akiona hata baiskeli inamfatilia siku mbili mfululizo atoe taarifa.

La sivyo itam bidi awe n mtu mwingine mgumu kumfikia kama alivyo MO sasa.
Atatoa taarifa kwa nani, maana polisi ni watuhumiwa namba moja kwa hili la kutekana
 
Ben Saanane ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga kutoka kwa CCM ya Magufuli, wakamuua

Mhe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu LISSU ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga mitandaoni kutoka kwa CCM ya Magufuli, kilichompata nikifo cha risasi, ni Mwenyezi Mungu tu aliemponya.

M/Mungu akutangulie na akulinde kiongozi wangu MAXE MELLO. Ukweli ni nikwamba CCM ya Magufuli wakiandika hivyo ujue mda wowote wanakuua.
CCM ya Magufuli ni genge la KIGAIDI linaloratibu UGAIDI IKULU kuwamaliza Watanzania. CCM NI LAANA WANACCM WOTE NI LAANA.
Mtu yeyote anayeshabibia ccm ameshalaaniwa yeye na vizazi vyake, hivi watu hwajui nguvubya laana weeh, wakamuulize Mwakyembe.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%. Jamii forums sasa hivi imezidi kuwa mwiba mkali, na hivi karibuni watamwagwa vijana humu ndani kuja kuchafua mijadala na kupiga mapambio.

Watamwagwa au tayari wapo tokea Miaka Mitatu kama si Minne iliyopita? Fanya Utafiti wako utajua kile ninachokimaanisha Mkuu.
 
Kama wanataka kuuona moto wajaribu Kumgusa Melo tutahakikisha nchi inavurugika kwa namna yoyote ile unamuua vipi mtanzania mwenzetu mwenye postive impact kiasi hiki kisa madaraka na mtu ajaribu aone vita jinsi gani uwa inaanza.
Kumbe sometimes una akili mkuu, yangu macho ole wake atakayemgusa Melo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1307420
Ni kwa nini aliondoka madarakani bila ya kuirekebisha Katiba aliyoitilia shaka kwamba inaweza kuwa mwiba kwa watanzania?
Mimi binafsi huwa najiulizaga sana kwanini huyu mzee wetu jk Nyerere alituachia katiba mbovu namna hii na huku akijua akipatikana mtawala mwehu wananchi tutapata tabu sana?
 
SISIEMU NI KAMA JINI LILILOBANWA NA UHARO AMBAO HAUTOKI HIVYO ULISHA JIOZEA KWA MAZINGIRA YALIYOPO HUU UHARO UNAKARIBIA KUTOKA KWA KASI WITH A TUBE-LIKE STRUCTURE DUE TO HIGH PRESSURE & TEMPERATURE NA UTAUNGUZA NA KUWABABUA BAADHI YA WATZ WAKIWAMO NA WENYE CHAMA NA HAYA MAMBO YA KIPUUZI KAMA VILE KUTEKANA, KUPIGA WATU RISASI HOVYO, KUUA WATU NA KUWEKA MIILI KWENYE SANDARUSI NA KUITUPA BAHARI YA HINDI NA KWENYE MITO NI USHUZI UNAOTOKA KWENYE HILI JINI WAKATI UHARO UNAJIPANGA KURIPUKA KAMA VOLCANO YA MLIMA VESUVIUS AU KRAKATOA KULE ITALY & JAPAN RESPECTIVELY.
TUTEGEMEE MADHARA ZAIDI YATAKAYOSABABISHWA NA HILI JINI LILILOKARIBU NA SHETANI KWA UNDUGU NA UFANANO.
 
Nakumbuka niliwahi mshauri Melo awe makini sana katika uzi mmoja hapa JF ila kuna mchangiaji mmoja alidai huko ni kumtisha Melo.

Melo kuwa makini sana na ikiwezekana uwe na walinzi wa kisirisiri kila unapokwenda.
 
Hawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
wanaccm ni wachumia tumbo ila wanataka kuendelea kuwaaminisha wale waliowanyima elimu kwa makusudi kwamba wapo madarakani kwa maslahi ya Tanzania na watanzania.wakati in reality wapo kwa maslahi ya matumbo yao na genge lao la ccm
 
Back
Top Bottom