CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

Naunga mkono hoja kwa 100%. Jamii forums sasa hivi imezidi kuwa mwiba mkali, na hivi karibuni watamwagwa vijana humu ndani kuja kuchafua mijadala na kupiga mapambio.
Acha woga ccm ndio babako kama unabisha biga simu kwenu


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Max natumai tayari umepa dikizwa microchip inayosoma GPRS, pia kwa level uliyonayo lazima utembee na vifaa vya kuchukua picha na sauti visivyoonwa na hawa wasiojulikana
 
Kama wanataka kuuona moto wajaribu Kumgusa Melo tutahakikisha nchi inavurugika kwa namna yoyote ile unamuua vipi mtanzania mwenzetu mwenye postive impact kiasi hiki kisa madaraka na mtu ajaribu aone vita jinsi gani uwa inaanza.
 
tuambie wewe kwanza...... utawasapoti vipi kwa vitendo?

kwa mfano mkuu wetu Max utamsapoti vipi kwa vitendo ikizingatiwa wewe ni mwana JF kindakindaki??
 
Hawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Asili ya nadharia hizi zimetoka nchi za kijamaa ambapo mtawala ndie mmliki wa nchi wananchi ni sawa na wapangaji pia haki ya kuishi ya mtu ni matakwa ya mtawala ndie uamua uishi au la,mtawala ni sawa na mungu kumkosoa ni sawa na kumbip Israel akutembelee,ukipingana na mtawala hata kwa mambo binafsi wewe ni adui wa nchi adhabu yako ni risasi au kesi ya uhujumu itakuhusu.
 
Kama wanataka kuuona moto wajaribu Kumgusa Melo tutahakikisha nchi inavurugika kwa namna yoyote ile unamuua vipi mtanzania mwenzetu mwenye postive impact kiasi hiki kisa madaraka na mtu ajaribu aone vita jinsi gani uwa inaanza.
Na kwakuwa wanajitambulisha kwa usukuma wao basi watawarahisishia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…