CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

Kweli kabisa Mkuu..
CCM ni kusanyiko la watu washenzi sana.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%. Jamii forums sasa hivi imezidi kuwa mwiba mkali, na hivi karibuni watamwagwa vijana humu ndani kuja kuchafua mijadala na kupiga mapambio.
Hilo la kumwaga WAJINGA-WAJINGA hapa jf walishashindwa kitambo Sana maana kila wanapojitahid kufanya wanashindwa Kwa hoja zenye nguvu..Kwa kifupi hawana pa kusimamia zaidi ya kutumia vyombo vya Dola
 
View attachment 1307420
Ni kwa nini aliondoka madarakani bila ya kuirekebisha Katiba aliyoitilia shaka kwamba inaweza kuwa mwiba kwa watanzania?
Alinufaika nayo sana. Aliweka watu wengi tu kizuizini na hakuhojiwa popote na yeyote kwasababu ya kulindwa na hiyo Katiba ambayo kimsingi aliiandika yeye na ccm.
 
Kama wanataka kuuona moto wajaribu Kumgusa Melo tutahakikisha nchi inavurugika kwa namna yoyote ile unamuua vipi mtanzania mwenzetu mwenye postive impact kiasi hiki kisa madaraka na mtu ajaribu aone vita jinsi gani uwa inaanza.
Hebu fanyeni kweli basi jamani tumechoka
 
Hawa wana CCM wao kila anayewapinga wanadhani anaipinga Tanzania. Ni kwa nini wanadhani kwamba chama chao ndiyo Tanzania?
Mkuu, hawa watu sio kama hawajui kinachoendelea, la ! hawa ni watu wachache wanaolinda maslahi ya matumbo yao tu. Hawa hawatakubaliana na chochote chema ambacho kitahatarisha maslahi yao! Bahati mbaya sana kwamba watanzania hadi sasa hatujajinasuwa nao!
 
basi juhudi za nchi yetu kujikomboa kiuchumi ni dhaifu sana kama zinadhoofishwa na mtandao mmoja wa Mtanzania mmoja.

Re-write the economic recovery masterplan, it is so weak it is stymied by one critical website!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…