Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #21
Kwani maspeaker walichukua sheria miguuni kukandamiza kanuni za bunge? Tulipofikia hapa sasa Serikali iliyoko madarani kupitia chama dhaifu inafanya "provocations" kwa matumaini ya kujificha nyuma ya ujuzi wa kanuni na vyombo vingine vya dola.
By the way umemuona Rage akimshambulia mwanachama wa Chadema, Le Mutuz na Bulembo wanang'oa bendera ya Chadema Chalinze, na mwenyekiti wa ccm kuhukumiwa kwenda jela kwa kung'oa bendera ya Chadema? Toa ushahidi wa vurugu za Chadema.
Mauaji yote kwenye vurugu za siasa yameundiwa tume; hakuna majibu ya hizo tume kwa sababu zinawagusa Chama tawala na serikali yake.
Please usifurahishe jamvi kwa kukosoa bila kuweka mizania. Maspeaker na wenye viti wa bunge wanapokea maagizo ya kuinusuru CCM na serikali yake kuhusu hoja za mshiko za wananchi; si hoja za CDM. Waruhusu mijadala ya Bunge watumie wingi wa wa wabunge wao kutozipigia hoja; mwishowe watafikishwa kwenye mahakama ya umma. Hata wasipoifikisha Chadema wananchi wenyewe watahukumu.
Mimibaba una maoni mazuri ambayo ningelikushauri uanzishe uzi mwingine ili tukaijadili ccm kule......................hii mada ni cdm na unafiki wao kwenye majukwaa......................siwezi kuziunganisha hizo mada mbili maana zitakuwa kubwa sana na kupoteza mwelekeo ambao ni yatokanayo na kugawa namba za simu za wabunge wa ccm na athari zake.....................ndiyo kiin cha huu uzi........................huwezi ukaonelea kila kitu kwenye uzi mmoja..................tjadili haya niliyoyaleta na hayo ya kwako kwa sasa ni out of topic..........come back to the topic please...................