Mcbunuano ni mkali sanaNapenda kuwatia moyo kuwa katika mapambano haya ya kudai Haki na usawa katika nchi hii hampo peke yenu. Mwamko ni mkubwa sana huyu nyoka CCM apondwe kichwani afe.
People's, people's, people's
Powerrrrrrrr!!!!!!!!!¡!!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 3615226View attachment 3615227
Yaani Chadema sijui Mungu tu kaamua hata umnyamazishe heche kwa sasa wengi wanapiga spana vibaya mnoKwa spana Anazopiga Heche,
Energy yake
Punching.
Hoja nk.
Wanatamani Wangemuweka Ndani Heche Kuliko Lissu
Unajua mana ya watanzania wewe? Ndo maana mnaitwa MANYUMBUWewe unatoka Burundi?View attachment 3615233
Mnajifariji upumbavuAri ya wananchi ni kubwa sana. Mabadiliko hayazuiliki
Tukaze mwendoTumekaribia
Mnajifariji upumbavuAri ya wananchi ni kubwa sana. Mabadiliko hayazuiliki
Mabadiliko yapiPole naona una hasira sana.mabadiliko hayakwepeki
Kunywa dawa za kisukari na pressureMauaji na watanzania wetu kutekwa tumechoka.
Chuma Gani ndugu, pole sanaSawa watanzania ni nyie maccm wengine sisi siyo watanzania. Kula chuma hichoView attachment 3615243