Narekebisha swali.Inategemea unazungumzia wajinga katika kundi Gani mf.vyama vya siasa, wakulima , wafanyabiashara n.k
Kwenye nchi hii wanaojitambua na wasiojitambua katika maeneo yote muhimu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kundi lipi ni kubwa ?
Narekebisha swali.Inategemea unazungumzia wajinga katika kundi Gani mf.vyama vya siasa, wakulima , wafanyabiashara n.k
Swali lipo too general.labda nikusaidie kuweka sawa ulitaka kujua level ya wajinga kati ya CCM na vyama vingine vya siasa?Narekebisha swali.
Kwenye nchi hii wanaojitambua na wasiojitambua katika maeneo yote muhimu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Kundi lipi ni kubwa ?
ondoa picha ya uchama. Kama mtu ni mjinga anabaki kuwa mjinga. Kuwa CCm au nje ya Ccm hakubadilishi hali ujinga wa mtu automatically.Swali lipo too general.labda nikusaidie kuweka sawa ulitaka kujua level ya wajinga kati ya CCM na vyama vingine vya siasa?
Ipo kwenye ripoti ya sensa ya watu na makazi kaitafute u some Ina data zote hizoondoa picha ya uchama. Kama mtu ni mjinga anabaki kuwa mjinga. Kuwa CCm au nje ya Ccm hakubadilishi hali ujinga wa mtu automatically.
Nawafahamu wajinga wengi waliopo ccm na vilevile nawahafamu wajinga wengi waliopo vyama vya upinzani.
Swali ni kwamba nchi hili ina kundi lipi kubwa kati ya wajinga na wasio wajinga bila kujali itikadi zao za kisiasa?
Wewe ulivyosoma uli extract data zipi?Ipo kwenye ripoti ya sensa ya watu na makazi kaitafute u some Ina data zote hizo
Huyu ni mwanafunzi halisi wa Tundu Lissu. Ujasiri wake, uadilifu wake na style yake ya ujenzi wa hoja, ni wazi amejifunza kwa Mwenyekiti wake..Kwa spana Anazopiga Heche,
Energy yake
Punching.
Hoja nk.
Wanatamani Wangemuweka Ndani Heche Kuliko Lissu
Mzee umetoka nduki, unakimbia kujibu hoja.Kasome acha uvivu
Bado kidogoTukaze mwendo
MzKafungue ripoti u some mzee