Pre GE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Leo nimeguswa kuwakumbusha wanasingida hasa wajumbe watakaopiga kura ya kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Kama tunavyoona mikoa mingine walivyosema
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa singida njoo uoneshe msimamo wenu wa kumuunga mkono Tundu Lisu kwa masilai mapana ya chadema na taifa kwa ujumla. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Tatizo hofu ya kujitokeza kwamba watashughulikiwa uchaguzi ukiisha. Hii ndio changamoto ya incumbent kugombea
 
Lissu ni mgombea pekee wa kuiokoa chadema kwa sasa, mikoa yote lissu aungwe mkono sio singida, Dodoma, Kilimanjaro, Ruvuma nk.
 
Nina uhakika wengi wanaomuunga mkono Mbowe hadharani, kwenye sanduku la kura watampigia Lissu. 😀
 

Mvua kubwa iliyonyesha kijijini hapo imesababisha madhara makubwa kwa wanakijiji na uharibifu wa miundombinu ya barabara na umeme hasa maeneo ya bondeni. Kutokana na tukio hilo, jeshi la polisi linawashikilia watu 9 wakiwemo raia 2 wa kigeni ambao uraia wao haukuweza kutambulika mara moja kwa sababu ya kutokuwa na hati za kusafiria za nchi wanazotoka.
Taarifa zaidi juu ya tukio hilo zitakujia hivi punde.
 
Kijiji gani mkuu
 
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Bala la Lissu Lina balaaa
 
Nimetoka kuongea na baadhi ya viongozi wa kanda ya Nyasa, bila hata ya kuuliza, wakaanza kusema wao wapo na Lisu.
Haaa haaa we jamaa asione Yericko Nyerere hili ataumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…