CHADEMA si chama cha wananchi, ni kikundi tu cha watu wanaotaka kushika madaraka

Wengi waliipenda CDM ilipokuwa ikipambania wananchi. Mfano jinsi ilivyopambania ufisadi. Hii ya leo inapambana tu kuingia madarakani.
 
Kama kungekuwa na Tume HURU tungewauliza wananchi kwenye Uchaguzi halali.
 
Hicho kikundi cha watu kutoka nchi gani?
Mleta mada mbona unakuwa kama unatafunwa?
 
Basi sawa leteni tume huru ya uchaguzi tuone nani zaidi kati yenu na hicho unachokiita kikundi.
 
Chama cha siasa ni nini? Na lengo lake ninini?
Mengine msiwe mnaandika ili kuficha ujinga wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…