CHADEMA si chama cha wananchi, ni kikundi tu cha watu wanaotaka kushika madaraka

Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
That's your judgement kutokana na uwezo wako mdogo WA kuchambua mambo hao mamilioni ya wananchi waliokipigia kura ni sismiz au
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Hata ccm ilishakufa kimebaki kikundi fulani cha watu wanalinda maslai yao binafsi kutumia plc ndo maana tunahitaji katiba mpya ili kila mmoj afaidi keki ya Taifa
 
Tuache ujinga sasa.
Kama CHADEMA siyo chama cha siasa kwa nini Msajili hajakifuta?

CCM tujipange kurejesha matumaini ya wananchi tuache visingizio kwamba tunakwama kwa sababu ya hao CHADEMA

Neno Utawala Bora kwa tafsiri ya Tanzania maana yake ni ulinzi wa Rais awapo madarakani. Tunahitaji reforms tujenge taasisi imara tena tujenge utamaduni wa ukuu wa sheria hapo tunaweza kusema we have a country inayoendana na haiba ya demokrasia.

Vita vya kusaka madaraka ndani ya CCM imetuletea majanga na ukatili mkubwa kidemokrasia
Hongera sana kwa kujivua ukungu ulio sambazwa na ccm
 
Hivi maana halisi ya chama cha siasa ni ipi? Kuna mahali katika ufafanuzi wa maana ya kinachoitwa chama cha siasa utakosa kugusa kitu kinaitwa "kikundi?"

Hivi CCM sio kikundi cha watu kinachounda dola? Mbona uko mweupe sana kichwani? Tuna safari ndefu sana kukomboa fikra zetu.

Nikurudishe shule kidogo: "Define what is a political party."
Asante sana kwa kutupatia darasa
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Chama cha siasa kazi yake kuu ni nini?
 
Hakika mwenge unaendelea kuharibu akili zenu

Chama cha siasa ni mkusanyiko wa watu wenye mawazo/sera zinazofanana juu ya namna ya kuongoza nchi.
Sikujua kama ni mjinga level hizi. Kwamba hiyo ndiyo tafsiri ya chama cha siasa[emoji848][emoji848]
Aisee, lakini waweza kuta wewe ndiye think tank wa ccm sehemu flani.
 
Umeongea hoja nzuri sana.Na mm nahitimisha hoja yako kwa kusema.Tunahitaji kuiondoa ccm mbovu na pia tunahitaji kuoluondoa upinzani mbovu.Ili tuje na watu wapya kila upande.
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Ukisajili kampuni ya ujenzi, hatutarajii ifanye shughuli za uvuvi.
 
Na mwishowe anapewa ukuu wa wilaya
Sikujua kama ni mjinga level hizi. Kwamba hiyo ndiyo tafsiri ya chama cha siasa[emoji848][emoji848]
Aisee, lakini waweza kuta wewe ndiye think tank wa ccm sehemu flani.
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.

HEBU JARIBU KULINGANISHA HAYA HAPA: CHAMA / KIKUNDI KIMOJA KINAKUBALI FORM ITOLEWE MOJA TU KWA NGAZI YA JUU KABISA YA UONGOZI, KIKUNDI/CHAMA KINGINE KINAKUBALI FORM ZILOTELEWE KWA WOTE WANAOHITAJI UONGOZI WA NGAZI ZA JUU KABISA. SWALI LANGU , JE NI CHAMA AU KIKUNDI KIPI KIKO KWA MASILAHI YA WANANCHI AU YA WALE WATEULE WACHACHE.
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Wewe ni mbumbumbu wa kiwango Cha uzamivu! Kwani lengo kuu la chama Cha siasa ni Nini kama sio kuchukua mamlaka ya Dola ili kitekeleze sera na maono yake kwa taifa! Na kwa sasa CDM ndio chama kikuu Cha upinzani na serikali mbadala; msengerema Nini wewe?![emoji2956][emoji2]
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
hata mpumbavu anaiona hiyo, mijitu ovyo ovyo tu, tupa kule
 
kama na wewe unalipwa kwa maandiko duni kama haya , basi hela za ccm zitakuwa zinaliwa kibwege sana!
Ni mtazamo wake tu. Na wewe ungeleta hoja yako inapinga aliyosema.

Meanwhile hakuna mwanasiasa ambae ni rafiki wa mwananchi. Mwanasiasa anakuwa rafiki ako pale anapohitaji ulaji tu. Akipata hutamuona tena.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chama cha wananchi ni CUF ,, CHADEMA ni chama cha demokrasia na maendeleo
 
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.

Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.

Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani. Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.

Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu. Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Ndio maana kinapuuzwa
 
Wamepoteza kabisa uwezo wa kujenga hoja. Wamebaki ushabiki. Wanafikiri siasa ni mpira.
Unazungumzia hoja gani?.Maana wewe kama uelewi madhumuni ya chama cha siasa utakua wewe ndo umepoteza kabisa uwezo wakufikiri.chama cha siasa sio sawa na chama cha wafanyakazi au vyama vya ushirika.Jukumu la kwanza la chama cha siasa nikushika madaraka kupitia mapungufu ya aliyepo.hizo hoja unazozitaka chadema wazisemee haziwezi kamwe kuongelewa kwa kiwango unachofikiria wewe kwasababu ya aina ya siasa zinazoendeshwa nchi hii.ndo maana ata Ccm wenyewe huwezi kuwasikia wakiongelea mapungufu yao yakushindwa kuisimamia serikali ili iwe na sera nzuri kwa makundi uliyoyataja.Na ata wakiongea wataongea kwanamna yakupamba sio kukosoa.Chadema walileta tu hoja ya katiba mpya umeona jinsi serikali kupitia jeshi la polisi walivyowasumbua, je unadhani watakua na uwanja gani mpana wakuzungumzia kwa kina kuhusu wakulima na makundi mengine.Wakati uwepo wa katiba bora ingetatua shida za makundi yote hayo kwapamoja lakini wameonekana wanamakosa.kwahiyo kabla hujakimbilia kuandika uku mitandaoni jipe muda wakujielimisha vizuri.Umaskini wa hii nchi haujaletwa na chadema wala mapungufu ya chadema bali ccm na serikali yake toka uhuru.
 
Back
Top Bottom