Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.
Ni wazi kuwa uko ktk kiwango chako cha juu sana cha ujinga...!!
Unaelewa maana ya chama cha siasa? Unaelewa lengo kuu la chama chochote cha siasa?
CCM ni chama cha siasa. Ni kundi dogo la watu lenye TAMAA ya kuendelea kushika dola kwa miaka zaidi ya 60 sasa na kinataka kiendelee zaidi. Ndiyo TAMAA ya kundi hili la CCM
CHADEMA ofcoz ñao ni kikundi cha watu chenye LENGO na TAMAA ya kushika dola. Na hiki ndicho kiini cha mapambano haya kati ya CCM waking'ang'ana kwa mbinu zote wasije kutolewa kwenye madaraka ya kushika dola na upandr huu CHADEMA na wenzake wakitumia kila njia kuhakikisha CCM inang'oka madarakani...!
Hii ndiyo siasa. Siasa bila misuguano na migongano kama hii hainogi...
Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika, wanaonyimwa fursa ya kutafuta masoko nje nk. Huwezi kuta wameingia matatqni kwa kutetea wafanyakazi kwa vitu kama fao la kujitoa au maslahi. Hawajawahi itisha maandamano kupinga kodi kandamizi kwa wafanyabiashara.
You are still in the top of your ignorance..!!
Masikini wewe
Red Giant, yaani hata huelewi ni kwa sababu gani;
å Mbowe M/kiti CHADEMA taifa yuko gerezani kwa kupakaziwa kesi ya ugaidi wakati sababu ni kuongoza harakati za madai ya KATIBA MPYA..!
å Kina Tundu Lissu, Godbless Lema wanaishi uhamishoni sasa...!
å Wafuasi na viongozi wengi wa CHADEMA wana kesi kila mahali za kubambikiwa na wengine wako mahabusu za polisi na wwngine magerezani...!
å Watu wanadai mfumo mpya wa kiutawala unaojali wakulima, wagugaji, machinga kupitia madai ya KATIBA MPYA...!!
Wao siku zote maandamano yao yanahusu fursa za kuingia madarakani.
Unadhani wakiingia madarakani ili wafanyeje? Si ndiyo wawape hao unaowatetea watakavyo? Watawapaje hao uawasemao watakacho bila kuwa na MAMLAKA na NGUVU ya kuyatekeleza hayo...?
Panua kichwa chako. Think BIG dude...!!
Tena afdhali kipindi cha Slaa ambapo ilionekana shida kubwa ni ufisadi, na wananchi walichoka. Slaa akaishika hoja hiyo na chama kikapata nguvu kubwa sana.
Hujui na huelewi usemacho. Ni ujinga uleule. Nisome hapo 👆👆👆juu
Chama kinakubali kuingiza watu hata wasioamini kwenye sera zao, lengo lao ni kushika madaraka tu.
Unataka wawe na lengo gani? What's wrong with? Something is wrong with you upstairs...!!
Chama hiki kibadilike. Kisimamie na kupigania hoja zinazowahusu wananchi moja kwa moja. Mfano kikijaribu kujiweka kuwa mtetezi wa wakulima, kitavuna nguvu nyingi sana. Mtu akisikia kuwa wamekamatwa kwa sababu walikuwa wakipigania unyonyaji wa wakulima wa chai au mahindi inamuingia akikini kukutetea. lakini kwa mtindo huu wa kila siku kupigania namna ya kuingia madarakani kinaweza kufa kabisa.
Ushauri huu baki nao wewe na ndugu zako. CHADEMA washikilie hapo hapo waliposhika. There's no going back. CCM walishatepeta...
Walisha - exhaust njia zote za kujihami na kujilinda ili wabaki madarakani. Option yao ya mwisho ilikuwa ni kutumia UWT na polisi kwa siri siri na kimya kimya. Now, they are doing openly, waziwazi. Unions hivi, tambua hii ni ishara ya kukata pumzi ya mwisho kwa CCM...
CHADEMA, puuzeni ushauri wa kijinga wa mpuuzi huyu anayejiita
Red Giant asiyelewa lolote...!!