Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Makamu yupo anaaga aga marafiki wa huko ng'ambo anakaaribia kutua JK Nyerere Airport.Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu
Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k
Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?
Chadema mko salama huko?
Inakuwaje wadau,!!
Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?
Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu
Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k
Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?
Chadema mko salama huko?
Inakuwaje wadau,!!
Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?
Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Lisu kuongea ndio huluka yake, anapokaa kimya, ni lazima tuulize, hasa kwenye mambo ya msingi ya chama na kitaifaLissu akiongea mnadai anaongea Sana. Akikaa kimya mndai amenusa kitu. CHADEMA Ni moja na hakuna mgogoro.
Lissu juzi alikuwa na Maria Sarungi Maria Spaces Twitter.Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu
Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k
Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?
Chadema mko salama huko?
Inakuwaje wadau,!!
Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?
Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Makamu mwenyekiti alikua bize na shughuli za chama amekabiziwa kazi kubwa kukiwakilisha chama kwenye bunge la ujerumani na wabunge wa africa usio na wasi wasi chama kipo imara kamanda vilevile tupo wamoja Ok?Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu
Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k
Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?
Chadema mko salama huko?
Inakuwaje wadau,!!
Huyu bwana mheshimiwa sana aliyeko Ubelgiji kanusa nini chamani?
Tujuzane tuu, matusi hayasaidii chochote!
Utahangaika sana ndugu kwa style yako hii ya maisha.Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu