CHADEMA Singida watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Uenyekiti

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Omari Toto amesema wameamua kumuunga mkono Lissu kutokana na Sera zake ambazo zinalenga kukijenga upya Chama.

Amesema hii ni kama timu ya mpira ambapo kocha mzuri akiona mchezaji amechoka anaamua kufanya mabadiliko.

Toto amesema kinachoonekana wao kama wanachama wanahitaji kufanya mabadiliko kwa manufaa mapana ya Chama.
 
Lissu anazidi kupasua anga😄😄 apewe maua yake...

LISSU + HECHE Dream team
 
Lissu anakubalika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…