AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
Kama mnavyowapenda na kuwafurahia wanaoisakama serikali na rais na chama chake... Basi wakubalini na machawa wake kuwa nao wamechagua upande wa kusemea.