komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Sio sahihi.Baba hao ni janga la Taifa, very soon watakuja na matusi, uzushi wao, upotoshaji, uwongo, kulazimisha mawazo yao. Itafutwe namna hilo lichama liteketezwe
Walichaguana na Mwamba Mbowe akapigwa mweleka kwenye sanduku la kura na camera zinamulika na waangalizi wa kimataifa na wa ndani.
TL akaibuka kidedea. Je,, hiyo ni demokrasia au una hoja nyingine?
Huku kwetu HP anatupiga spana kuwa tulitoa form moja bila mshindani. Hapo nani anaogopa demokrasia na hataki kuitumia demokrasia.