AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Baba hao ni janga la Taifa, very soon watakuja na matusi, uzushi wao, upotoshaji, uwongo, kulazimisha mawazo yao. Itafutwe namna hilo lichama liteketezweNimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
KAMA MNAVYOWAPENDA NA KUWAFURAHIA WANAOISAKAMA SERIKALI NA RAIS NA CHAMA CHAKE... BASI WAKUBALINI NA MACHAWA WAKE KUWA NAO WAMECHAGUA UPANDE WA KUSEMEA.
Nawataka sana hao , wapumbavu kama miungu watu...Watu waache kutoa mawazo yao eti wasemewe wao ...Baba hao ni janga la Taifa, very soon watakuja na matusi, uzushi wao, upotoshaji, uwongo, kulazimisha mawazo yao. Itafutwe namna hilo lichama liteketezwe
Ccm ndio wenye democracy. Hakuona ccm walitoa fomu zaidi ya moja ili waombe kuteuliwa kugombea urais.Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
Kama mnavyowapenda na kuwafurahia wanaoisakama serikali na rais na chama chake... Basi wakubalini na machawa wake kuwa nao wamechagua upande wa kusemea.
Nawataka sana hao , wapumbavu kama miungu watu...Watu waache kutoa mawazo yao eti wasemewe wao ...
Wajinga sana ,wanalazimisha kitu mtu awe mfuasi wao .Hao jamaa wanatengeneza chuki badala ya kuleta sera nzuri.
Wanachama wa chadema kwa kila leo wanatekw na kupotezwa n ccm na serikali kisa utofauti wa mawazo. Hiyo ndio democracy ya ccm,Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
Kama mnavyowapenda na kuwafurahia wanaoisakama serikali na rais na chama chake... Basi wakubalini na machawa wake kuwa nao wamechagua upande wa kusemea.
Shida ya Watanzania wengi hata demokrasia yenyewe hawaijui ila wanajifanya kama kuitaka.Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
Kama mnavyowapenda na kuwafurahia wanaoisakama serikali na rais na chama chake... Basi wakubalini na machawa wake kuwa nao wamechagua upande wa kusemea.
CCM sio chama cha kidemokrasia sasa kama unataka kujaribu kutetea upuuzi wa wanachadema kwa kulinganisha na chama cha kidikteta kama CCM hii ni zaidi ya tatizo.Ccm ndio wenye democracy. Hakuona ccm walitoa fomu zaidi ya moja ili waombe kuteuliwa kugombea urais.
Mnabweka sana
Mnabweka sana
Zamani enzi za KIKWETE CHADEMA KILIKUWA CHAMA SHAWISHI KWA HOJA...Nawataka sana hao , wapumbavu kama miungu watu...Watu waache kutoa mawazo yao eti wasemewe wao ...
Wajinga sana ,wanalazimisha kitu mtu awe mfuasi wao .Hao jamaa wanatengeneza chuki badala ya kuleta sera nzuri.
KWA CHADEMA...majambaka kwenye ubora wenu
True, yaani tuseme ina watu wa vurugu wengi.Shida ya Watanzania wengi hata demokrasia yenyewe hawaijui ila wanajifanya kama kuitaka.
Chadema ina watu wengi sana walio ndani ya chama chao wasiojua nini maana ya demokrasia au maana ya maendeleo ni wafuasi oya oya
hili wewe ndio umelijua leo?,angalia sisi wenzio Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
NI KWELI MKUBWA...CHADEMA BADO SANA KUAMINIWA KUPEWA NCHI...ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA.hili wewe ndio umelijua leo?,angalia sisi wenzio Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
P
Chadema, hawajawahi, kuongoza nchi, acha utabiri na ramli za ki k,Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki basi unakuwa ADUI WA CHADEMA NA UTAANDAMWA SANA KWA HILA NA VURUGU.
Hawaamini mtu yeyote yule anaweza akalitazama jambo vile aonavyo sawa kwake...ila wao watakulazimisha utazame jambo watakavyo wao.
Kwa sisi ambao hatupendi masuala ya vyama...HILO LINATUKATA SANA...Lipo hata kwa CCM, ILA KWA CHADEMA LIMEZIDI MNO, WATAKUFANYIA VURUGU MATUSI KISA TU LABDA UMEAMUA KUSHUKURU LABDA TANESCO KWA HUDUMA BORA...
Hebu ona walivyoishukia KLABU YA YANGA...Hivi ingekuwa yanga imeenda kuchangia Chadema walichochangia CCM, wangeandika barua FIFA? je wanachama wao wangelalamika kwa matusi kwenye page za viongozi wa Yanga...
Chadema hebu tuonesheni kweli ninyi ni watu wa demokrasia...
Kama mnavyowapenda na kuwafurahia wanaoisakama serikali na rais na chama chake... Basi wakubalini na machawa wake kuwa nao wamechagua upande wa kusemea.
Tunachokizungumza hapa una kiidhihirisha hapa...hamkubali mawazo pinzani na ninyi kabla hamjapata madaraka...mkipata madaraka je?Chadema, hawajawahi, kuongoza nchi, acha utabiri na ramli za ki k,
Kenge wa, kijani wapo kwa miaka 60+, kipi, cha maana, wamefanya, zaidi ya kutunisha makalio tu