K komasalonde JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,742 Reaction score 3,523 Aug 30, 2025 #21 Sangamwalogesha said: Baba hao ni janga la Taifa, very soon watakuja na matusi, uzushi wao, upotoshaji, uwongo, kulazimisha mawazo yao. Itafutwe namna hilo lichama liteketezwe Click to expand... Sio sahihi. Walichaguana na Mwamba Mbowe akapigwa mweleka kwenye sanduku la kura na camera zinamulika na waangalizi wa kimataifa na wa ndani. TL akaibuka kidedea. Je,, hiyo ni demokrasia au una hoja nyingine? Huku kwetu HP anatupiga spana kuwa tulitoa form moja bila mshindani. Hapo nani anaogopa demokrasia na hataki kuitumia demokrasia.
Sangamwalogesha said: Baba hao ni janga la Taifa, very soon watakuja na matusi, uzushi wao, upotoshaji, uwongo, kulazimisha mawazo yao. Itafutwe namna hilo lichama liteketezwe Click to expand... Sio sahihi. Walichaguana na Mwamba Mbowe akapigwa mweleka kwenye sanduku la kura na camera zinamulika na waangalizi wa kimataifa na wa ndani. TL akaibuka kidedea. Je,, hiyo ni demokrasia au una hoja nyingine? Huku kwetu HP anatupiga spana kuwa tulitoa form moja bila mshindani. Hapo nani anaogopa demokrasia na hataki kuitumia demokrasia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 31, 2025 #22 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw