Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ikiwa Kuna uwezekano wa kusogeza mbele Mkutano huo, USOGEZWE , USIFANYIKE HIYO TAREHE !!.Kwa alipofikia Mbowe hana uwezo huo, shaka ondoa
MDHARAU MWIBA , MGUU HUTUNGA USAHA. nAKUBALIANA NA WAZO HILO...HAIRISHAKwa alipofikia Mbowe hana uwezo huo, shaka ondoa
sio vitu vya kudharauMDHARAU MWIBA , MGUU HUTUNGA USAHA. nAKUBALIANA NA WAZO HILO...HAIRISHA
usidharauKwa alipofikia Mbowe hana uwezo huo, shaka ondoa
Naunga mkono. Ikiwezekana Baraza kuu lihairishwe. Na CHADEMA waimalishe sana intelijensia yao kwanza. CCM wamepanga uovu mkubwa sana. Kuna watu wamepewa fedha nyingi ili tu kuisambaratisha CHADEMA. Please pleas e CHADEMA mkae mkujua hamshindani na chama cha siasa bali mnashindana na majambazi, wahuni, drug cartelSogezeni Mbele Mkutano !!.
Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani .
Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu.
SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU.
Sababu mnazo za kutosha !!.
Hamna ruzuku!!.
Kuna Vijana wale wa yule Jamaa alionekana Leo kwa Bwawa, wamepangwa !!Naunga mkono. Ikiwezekana Baraza kuu lihairishwe. Na CHADEMA waimalishe sana intelijensia yao kwanza. CCM wamepanga uovu mkubwa sana. Kuna watu wamepewa fedha nyingi ili tu kuisambaratisha CHADEMA. Please pleas e CHADEMA mkae mkujua hamshindani na chama cha siasa bali mnashindana na majambazi, wahuni, drug cartel
Kuna Figusi wameiandaa kwa ajili ya Mnyika siku Moja kabla ya Kikao.Kwa maccm KILA jambo kwao halishindikani Kama yanauwa itakua kuhujumu kikao tu me nasema haya sio yakupuuzwa kumbukeni viapo vya kina tilatilah na mwashambwa manake wanauhakika na walichokipanga kwamba kimeshatiki hakuna kupuuzia jambo kwa Sasa
Sogezeni mbele Kikao, HECHE atazidiwa Sept 15 .Nyoka akiwa ameingia ndani ya nyumba usiku, mgongeni kichwa usiku huo huo msisubiri kukuche.
Mkutano wa Baraza Kuu ufanyike ,Kuliwa na Utulivu Mkubwa ndani ya CHAMA !!!.Chadema kwa sasa ni hatari mno hao unaowasema wajaribu waone kama watatoka ukumbini
Mbowe ni nyoka tena nyoka kabisa huyu mbwa kumbe naye ni sehemu ya kuchelewesha mabadiliko nchiniSogezeni Mbele Mkutano !!.
Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani .
Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu.
SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU.
Sababu mnazo za kutosha !!.
Hamna ruzuku!!.
Wazo zuri waahirishe kikao, na jibu ni jepesi kikao kitaitwisha na Mwenyekiti mwenyewe, tumeahirisha sababu tulitegemea mwenyekiti atakuwa huru na ndie aendeshe kikao, wahuni wamejipanga ndio maana hata kile kikao cha wenyeviti wa mikoa wahuni walikihujumu na hiyo tayari ni bendera nyekundu, yule Dj amejipanga kinyemela kurudi kupitia mlango wa uani, si mnamuona alivyoanza kupiga show?Sogezeni mbele Kikao, HECHE atazidiwa Sept 15 .
Kwan Intelligence ya CHAMA umelala???.