Unaona ulivyo limatako, mlimzora Mbowe?.Vijana wa Chadema ni aibu kujiita Watanzania
Mawazo yao yapo kupinga pinga mpaka Umeme wenye kuwafaa nawao‼️‼️
Akili zao awa kama sio kukemewa!! watakuja🤠 kupinga mpaka na Ujenzi wa hospital kubwa maeneo yao✍️
Habarisha watu, usaliti upi, taja tujuentutoe mawazoMkutano wa Baraza Kuu ufanyike ,Kuliwa na Utulivu Mkubwa ndani ya CHAMA !!!.
Inamaana bado hamjaona usaliti dhidi ya Lissu na Chama, mpaka kufikia Jana??.
Yule mpuuzi alituchelewesha sanazamani FAM nilikuwa namwona jamaa wa maana, sauti ya mamlaka kumbe bwege tu
unazidiwa hoja unasusa bwege sana
Jifarijini kwa kuendeleza uchawa hewa...Siasa ni ajira mfano zamani wkt Katibu Dk Slaa alikuwa kila mwezi anakunja million 7 nk.👈
Kwasasa Chama hakina pesa yoyote ndiomana ata kina Dk Slaa wapo kimyaa👈
mana wanajua chamani kuna tatito kubwa la uchumi
Mipango yao kuzuiya Uchaguzi imeenda kombo ‼️
nasasa ni wao wanapigika kuliko wenzao walioshiriki Uchaguzi 2025✍️
Si mmukamate kama kuna anayoyakwamisha ,kweli??!Mbowe simtetei ila naona ameonesha namna upinzani unatakiwa kuwa.
Kaongea vitu ambavyo ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.
Siyo huyo mwehu kazi kuja na mambo ya kukwamisha nchi kila mara.
AhsanteeSogezeni Mbele Mkutano !!.
Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani .
Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu.
SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU.
Sababu mnazo za kutosha !!.
Hamna ruzuku!!.