CHADEMA sogezeni Mbele Mkutano wa Baraza Kuu hadi pale itakapoamuriwa Upya!!

CHADEMA sogezeni Mbele Mkutano wa Baraza Kuu hadi pale itakapoamuriwa Upya!!

MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Yaani akili za manyumbu bwana, zinachekesha sana.
20250722_160219.jpg
20250508_130957.jpg
20250410_122039.jpg
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
mbona unakomaa sana na shule, ulimpeleka?
 
Mwenye kujua kumuusu Mzee mbowe kawapinga Erythrocyte
Lkn bado wao wanakadhania anatoka murudi !!!

Uyo Mzee kwasasa anaishi Marekani
Haje kukitaka chama kipindi ichi hakuna ruzuku yoyote

Mbona vichwani wapesi sana
Mnajua wkt Mzee mbowe ni Mwenyekiti Chadema kwa mwezi ilikuwa inaingiza ruzuku kiasi gani
Sasaivi wanapokea nini ‼️

Kwake kwasasa Chama chanini
Mana kinanjaa Hatari

Viongozi wengi mfano kina John Mnyika nk. Walikuwa wanalipwa kila mwezi
Sasa hakuna pesa manake wanafanyakazi free🫎❗️

na Uhongozi huu mpya chini ya Kina Heche!! manake watafanya kazi free kwazaidi ya miaka 4 🤠

Mana hakuna tumaini lolote kupatikana Suluhu ya kuiyokoa Chadema kwenye Uchumi wakujiendesha👈

Kama kuja Mzee mbowe ni baada ya miaka 4 kama ataamua
kugombea nafasi y Mwenyekiti👈

Uyo Erythrocyte mwenyewe kiundani kwasasa kapoteza tumaini na uhongozi mpyaa chezea
njaaa🤠
 
Umu jamii forum kuna vijana hawajui vyama vya Siasa vinajiendesha vipi wanadhani vipo na
vitakuwepo tu🤠🤠
 
Siasa ni ajira mfano zamani wkt Katibu Dk Slaa alikuwa kila mwezi anakunja million 7 nk.👈

Kwasasa Chama hakina pesa yoyote ndiomana ata kina Dk Slaa wapo kimyaa👈

mana wanajua chamani kuna tatito kubwa la uchumi

Mipango yao kuzuiya Uchaguzi imeenda kombo ‼️

nasasa ni wao wanapigika kuliko wenzao walioshiriki Uchaguzi 2025✍️
 
Mbowe simtetei ila naona ameonesha namna upinzani unatakiwa kuwa.

Kaongea vitu ambavyo ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.

Siyo huyo mwehu kazi kuja na mambo ya kukwamisha nchi kila mara.
 
Siasa ni ajira mfano zamani wkt Katibu Dk Slaa alikuwa kila mwezi anakunja million 7 nk.👈

Kwasasa Chama hakina pesa yoyote ndiomana ata kina Dk Slaa wapo kimyaa👈

mana wanajua chamani kuna tatito kubwa la uchumi

Mipango yao kuzuiya Uchaguzi imeenda kombo ‼️

nasasa ni wao wanapigika kuliko wenzao walioshiriki Uchaguzi 2025✍️
Majizi na mapenda rushwa mtayajua tu
 
Siasa ni ajira mfano zamani wkt Katibu Dk Slaa alikuwa kila mwezi anakunja million 7 nk.👈

Kwasasa Chama hakina pesa yoyote ndiomana ata kina Dk Slaa wapo kimyaa👈

mana wanajua chamani kuna tatito kubwa la uchumi

Mipango yao kuzuiya Uchaguzi imeenda kombo ‼️

nasasa ni wao wanapigika kuliko wenzao walioshiriki Uchaguzi 2025✍️
Jizi na lipenda rushwa utalijua tu kwa maneno yake
 
Sogezeni Mbele Mkutano !!.

Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani .

Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu.


SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU.

Sababu mnazo za kutosha !!.

Hamna ruzuku!!.
.
Kwanza sio Demokrasia kusogeza mbele jambo kuogopa Upinzani ndani ya Chama

Demokrasia nikama maji huwezi kuyazuiya
Mapinduzi ni mgogoro Chadema hakuna mgogoro lkn kuna njaaa kali sana🤠🤠✍️
 
Back
Top Bottom