CHADEMA sogezeni Mbele Mkutano wa Baraza Kuu hadi pale itakapoamuriwa Upya!!

Unaona ulivyo limatako, mlimzora Mbowe?.

Chama cha Upinzan chochote kinachotaka Kuchukua Mamlaka, Lazima kikosoe na kupinga .
 
Mkutano huu hauna ajenda ya Uchaguzi ambayo ingesambaratisha chama hoja za Heche amekula fedha nayo imekufa baada ya kuonekana wazi kuwa ni propoganda ya CCM hivyo hakuna tishio tena,Mbowe hawezi kufanya kitu kwa sasa.
 
Jifarijini kwa kuendeleza uchawa hewa...
Sasa ni Sekondari -Wanafunzi wanahoji..ni.Serikali gani hii? Wamebeba mwili wa Mwenzao kwenye Fuso waliloamua kukodi wenyewe baada ya kuwaweka Mochwari Masaa 9 wakingojea Gari la Serikali/Halmashauri...CCM safari ya kuporomoka inaendelea...
Kama hata ku ratibu tu Shughuli za Mazishi napo taabu....Mnaota muendelee kuaminiwa kuongoza Nchi?!!!!
 
Mbowe simtetei ila naona ameonesha namna upinzani unatakiwa kuwa.

Kaongea vitu ambavyo ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa.

Siyo huyo mwehu kazi kuja na mambo ya kukwamisha nchi kila mara.
Si mmukamate kama kuna anayoyakwamisha ,kweli??!
Nyie kwenu si Mbowe mlikuwa mnamsonga sana kwamba kajimilikisha Uenyekiti wa Chama,Mara ana Udikteta..Kulikoni tena?
 
Ulitoa ushauri mzuri sana mkuu. Na chama kimeufanyia kazi. Na jambo zuri ni kwamba hata tarehe mpya ya mkutano hawajataja hivyo kuwaacha wasaliti Njia mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…