CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea.


 
Maandamano ni haki ya kikatiba, wakati muafaka ni hao wanaotaka kuandamana wanaamua.
 
Tutaandamana, piga uwa garagaza, mama yenu atajikuta The Hague
 
Acha
Acha kuwapumbaza watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…