CHASO-UDSM
New Member
- Nov 5, 2014
- 1
- 0
CHASO-UDSM inawatangazia wanachama wote wa CHADEMA wa chuo kikuu cha Dar es salaam kuwa tarehe 8/11/2014. Siku ya jumamosi utafanyika mkutano mkuu wa tawi katika ukumbi wa Cosmic Villa Pub, karibu na kiwanda cha Azania Njia ya kuelekea Mabibo hostel.
Sambamba na mkutano mkuu pia CHASO-UDSM itatoa tamko rasmi jinsi itakavyoshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. pamoja na kuunga mkono makubaliano ya UKAWA yaliyosainiwa pale viwanja vya jangwani tarehe 30/10/2014