Chadema students organization (chaso) - udsm

Chadema students organization (chaso) - udsm

CHASO-UDSM

New Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1
Reaction score
0
CHASO-UDSM inawatangazia wanachama wote wa CHADEMA wa chuo kikuu cha Dar es salaam kuwa tarehe 8/11/2014. Siku ya jumamosi utafanyika mkutano mkuu wa tawi katika ukumbi wa Cosmic Villa Pub, karibu na kiwanda cha Azania Njia ya kuelekea Mabibo hostel.
Sambamba na mkutano mkuu pia CHASO-UDSM itatoa tamko rasmi jinsi itakavyoshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. pamoja na kuunga mkono makubaliano ya UKAWA yaliyosainiwa pale viwanja vya jangwani tarehe 30/10/2014
 
Hii ya kuhusu mikopo mnayotoa ipoje? Maana wengine taarifa hzo hatujapa vyuon kwetu. AU Kuna utaratbu mwngne?
 
Back
Top Bottom