Mbona hiyo ipo tayari na kinacho subiriwa ni nafasi tu ya mama.
Haya madudu ndiyo yanayowafanya waandike kwamba sasa hivi wana furaha zamani hawakuwa na furaha.
Wanaenda kunywa chai Ikulu..Haya madudu ndiyo yanayowafanya waandike kwamba sasa hivi wana furaha zamani hawakuwa na furaha...
Usikurupuke, wanasiasa wenye akili uongozi ukibadirika, tena uongozi wa ki-IMLA, basi kunakuwa na nafasi ya kuona/kutafuta the way forward!Chadema ni naive na hawajitambui.
Huyo samia mnakutana nae kwa ajili ya kitu gani?...